I have been in jamii forum for years i have only find only one greater thinker

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,054
Reaction score
137
Many are flag thinker and some moderate thinker but more than 95% your just a flag.
Guys school is every day thing don't be affixed with your academic archirvment of 80s or 90s this is not the generation of slide ruler and log table learn from primary student who are digital literate
trash your analogy thought digitize it. Your education is not a platform to despise those who did not have that opportunity. Elimu yako ni mbegu ya vizazi ukiil;a utatuua njaa. Prof muumini mwijuma. Usisumbuliwe na u zee wa speling check nenda kwenye dictionary nini maana ya romnesia hili ni neno maalumu alilituga obama kuelezea hali ya mpinzani wake. Mawazo yenu yako kwenye jokofu siwaonei aibu nawagusa mkono na upofu wenu ili nisiwadhulumu sina elimu.
 

Embu nenda kajipange tena, think before you act
 
Aisee?!.....jfforjamii, forget about the spellings Found alot of ideas(confusing ideas) probably difficult human brain to comprehend at once.."word salad"..!!

How do you define/to you who is a Great Thinker?
 
Your are doomed my blood broda!
 
We mtoto wa juzi huijui JF kaa kimya. Jifunze kuandika kwanza
 
Go polish your writing skills then come back later
 
Hii bila shaka ni Cerebral malaria
 

Waandikaji wa Bongo Fleva kwenye mitihani hawatakaa waishe Tanzania!!!! Dah
 
Ndio nini hiki?
Ndio maana huwa nasema kungekuwa na interview process kabla mtu kuwa member JF, Mtu anaweza akafikiri nakandamiza uhuru wa mawazo.

Jana asubuhi nilikuwa namsikiliza expert wa maswala ya kimatifa wa CHINA alisema kwamba ni kweli serikali ya china inadhibiti vyombo vya mawasiliano na ni kweli inazuia baadhi ya mambo kuzungumziwa akidai wana sababu zao za msingi, mmoja wapo ikiwa ni kumonitor taarifa sahihi, with a population of Bilion people unaporuhusu kila mtu aseme juu ya kila kitu unasababisha confusion kwenye taifa.
 
Mwaka mzima bado hujajua kupanga mawazo,hujajua kuandika lugha ikaeleweka na bado hujajua nini unatakiwa kufanya,wapi na wakati gani ufanye nini hujui, then unajiita nawe ni GT kweli?????????!!!!Ya nini kupata fedheha ya kujitakia?Kwanini usijipe muda wa kujifunza zaidi?Kwani ni lazima uanzishe uzi humu ndani?Mimi bado nipo darasani kujifunza toka kwa GT na kwa kweli nawashukuru kwa malezi yao mazuri toka kwa wanaJF maana nakua na kujengeka sana kutokana na wao.Nimeshindwa kukuelewa ndugu yangu unajua lugha gani kati ya hizo ulizoandika,Kaa chini na jifunze tena vinginevyo ni aibu kwako na dhamira yako.
 
Kweli JF kuna vioja vya kila namna. Huyu jamaa siujui katoka wapi. Inawezekana katoka usingizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…