I have been in jamii forum for years i have only find only one greater thinker

I have been in jamii forum for years i have only find only one greater thinker

Jamaa amekaa akawaza na yeye aingizwe kwenye list ya watu waliowahi kuanzisha thread hapa JF.
 
huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi tumsaidieni akapatiwe matibabu mi..le..mbe kwani alichoandika kinaonesha kunatatizo kwenye brain yake
 
Kha ivi una ubongo wewe?au ulikua jf ka ajal kakakukumba ukiwa unatma post
 
huyu jamaa yuko na problem ati, haihitaji kuuliza picha inaonekana tu, asamehewe bure tu, hao ndo among "THE GREAT STINKERS" :confused2:humu jamvini
 
Kha ivi una ubongo wewe?au ulikua jf ka ajal kakakukumba ukiwa unatma post

ubongo ninao tofauti tuu kwa mtizamo wako unaona ubongo wangu hauna akili, ni haki yako ya msingi kufikiria na kutoa mawazo na mtazamo wako juu ya hisia zako kuhusu nilivyo.
 
Back
Top Bottom