I have been in jamii forum for years i have only find only one greater thinker

Kama kawaida ya Watwana wapo kila sehemu, hata humu JF wamo. Jisikie huru kwa kuitumia Lugha yako, mbona lugha uliyotumia mtoa mada haieleweki kabisa!!? Kweli, yawezekana malaria uliyonayo imeingia Kichwani.....!!!
 
Kiingereza cha kujifunzia kwenye muvi hicho.Rudi shule bwana mdogo. Practices makes you imperfect.
 
mungu wangu..khe....:becky::becky::becky::becky:
 
Damn! huyu kiumbe katoka sayari gani, angejua wenzake tunatamani tungejiunga JF tangu zamani sana. Najua maisha yangu yangekua juu sana kwa ushauri ambao watu wanatoa humu.
 

Bangi inataka iambatane na lishe ya kutosha.
 
Nuuuuuuuuuuuuurseeeee.. Pleasee Heeelp!Amefungua kamba huyu mgonjwa wetu
 
wataalamu wa hesabu wanasema ni null vector,wahandisi wanasema ni a body at equilibrium,wanasiasa wanasema ni siasa mbovu..na mimi nasema kijana umeropoka...umekurupuka...kajipange!!!
 
Do! kichwa cha habari kama cha TBC ndani utumbo mtupu. Jamani kama lugha ya watu huijui ci uandike hata kimakonde cha kwenu tu? burula mkubwa.

Sangarara naomba niungane na wewe kwa idea hii:"........ Ndio maana huwa nasema kungekuwa na interview process kabla mtu kuwa member JF, Mtu anaweza akafikiri nakandamiza uhuru wa mawazo".

 
mi naona kuna umuhim wa kuzuia posts kama hizi coz zinapoteza muda na kujaza database bure,nimewahi kuskia wakina Mike(founders) wa hii JF kwamba sasa hivi wanakabiliwa na changamoto kubwa kuendesha huu mtandao kwasabab ya idadi kubwa ya members,kumbe sehem kubwa ya hao members ni mambumbu na wasiojielewa kama huyu bwana.kuna umuhim wa kupunguza watu kama hawa humu ndani wawe wanapost facebook
 
Title na post vitu viwili tofauti what was he trying to prove dah! Nimecheka kama 15m hivi na huyo GT mbn hamtaja na cc tumtafute
 
kabla hujafa kwa presha unapatwa na kipindupindu, tb na homa ya uti wa mgongo, kisha sukari na bp vinapanda ghafla

hahahahahah kuvishusha lazima aletwe jogoo wa kike!
 
Duuh.....aisee mmemchambuajeee?!!! nadhani huko aliko atakuwa katengeneza kichanja uvunguni mwa kitanda amelala kwa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…