I have been scammed 1,100$ through Forex

First red flag you need to be aware of is when they insist all transactions go through bitcoin. You lost your common sense because you fooled yourself into believing you're too smart and sophisticated. Plus your greed for easy and fast money got the better of you
 
Itakuchukua muda sana kuifahamu forex mkuu
 
Jamaa una roho ya kupigwa aisee khaaaa!!!
Ule usemi wa ukiumwa na nyoka ukiona jani unastuka kwako ni tofauti. Sikujua kama bado kuna watu wa hivi,ndomana matapeli hawaishi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww kalime viazi hizi biashara ni za matajiri sio kapuku kama ww
 
Asante mkuu nimeiscreen shot your comment for future reference.
 
Inaonekana we jamaa ulitaka kuwa mchoyo thats why ukapigwa, sidhani kama uliwashirikisha watu au marafiki zako kuhusu hiyo kitu.You wanted to be a "clever rich trader" alone.Cuz kama ungepitia forums ungekutana na warning kuhusu hao jamaa.
Anyway sijawahi ku trade forex, ila najua zipo legit sites,na sio business ya kila mtu.Sasa kama hao templar haujatuambia kama na wao walikuibia au uliingia live kabla haujaiva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…