I have dream: Ipo siku moja nami nitachat na Rais Magufuli kwenye simu

I have dream: Ipo siku moja nami nitachat na Rais Magufuli kwenye simu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Nasema ipo siku moja tu,

Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha

Niwatakie jumapili njema🤦🤪🏃
 
ni kweli ndugu yangu au siyo?nasema uongo
 
Remember to tell him kwamba sisi Watanzania tumeziona juhudi zake za kuleta maendeleo endelevu ya kweli na ustawi wa taifa letu. Tunamwomba ajiandae kisaikolojia kuendelea kuwepo Ikulu kwa muda mrefu sana tu -- ^ATAKE ASITAKE!^
 
Believe me una stress za maisha na haujatoboa bado
 
Nasema ipo siku moja tu,

Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha

Niwatakie jumapili njema[emoji1751][emoji2957][emoji125]
Ubaya wa kitu kinachoitwa dream ni kwamba hakina timeframe wala plan. Una ndoto ila hujui lini itatimia si ajabu ndoto hiyo ikaja kutimia baada ya miaka 30 pengine wakati huo sio rais tena ameshastaafu
 
Nasema ipo siku moja tu,

Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha

Niwatakie jumapili njema🤦🤪🏃
Niliwahi kufika nyumbani kwake pale mbuyuni mwaka 2010, nadhani ilikuwa Oktoba au Novemba. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumona LIVE, kabla ya hapo nilikuwa namuona kwenye Tv tu. Kulikuwa na watu wengi siku hiyo ila nilibahatika kumsalimia alikuwa anapita, nikaogopa kuongea naye. Nilikuwa bado simjui vizuri. Sasa hivi nikimuona live na kukawa na nafasi, naweza nikachat naye. Kipindi kile niliogopa, nikuwa simjui vizuri namna social life yake ilivyo
 
Kumbe humu tunajibizana na watu washamba kupitiliza. Tangia leo hamtaniona tena humu!

Hili limsukule la chato hili linaongea km halina meno. mpyutuuu!

Nimeamini binadamu sisi tuko tofauti sana. Ile ni mikosi acha!!!
 
Nkosi sikelel' Afrika
Maluphakanyisw' uphondo lwayo
Yizwa imithandazo
 
Nasema ipo siku moja tu,

Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha

Niwatakie jumapili njema🤦🤪🏃
Unachokisema kinawezekana kwan rais ni nani? Kua na imani weka mipango yako sawa itatimia tu.
 
Back
Top Bottom