Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Hahahahahaha na ukweli usemwe.Mkuu ujue hii lugha ngumu ndo maana ata Juma Pumba haitumii
Ok poa mkuu....Hivi manfongo na shishi baby kuna nini kinaendelea pale....Man fongo anapiga nini yule mtoto?
Mkuu ujue hii lugha ngumu ndo maana ata Juma Pumba haitumii
Huwez kujibiwa hili swali sababu ya "saibakraimu"Juma Pumba ndio nani? Sijafika "mjini" kitambo.
Huwez kujibiwa hili swali sababu ya "saibakraimu"
Itakuwa wanamaanisha baba naniliu....yule wa bombodiaNdio umezidi kunichanganya.
πππ Juma Pumba si ni yule jamaa wengine wanamuita JP ama?Itakuwa wanamaanisha baba naniliu....yule wa bombodia
Unachokitafuta utakipata.πππ Juma Pumba si ni yule jamaa wengine wanamuita JP ama?
Eti ndiyo mjukuu wa Maharage!Juma Pumba ndio nani? Sijafika "mjini" kitambo.
Denzel's dad was a teacher in one of MountVernon schools in NY. You may find one of his names is David so dig it.To understand this, you must be familiar with an American series called 'Ballers' starring Dwayne Jonson (wrestling nickname-'the rocky') and John David Washington (Ricky). It is true that John David Washington is Denzel Washington's son. Now I wonder why the middle name is David...maybe it is just some naming convention..
Juma Pumba ndio nani? Sijafika "mjini" kitambo.
> Lissu ailaza chali Jamhuri katika kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais MagufuliNdio umezidi kunichanganya.