I knew 'Ricky' was a Washington, but didn't know he's Denzel's

I knew 'Ricky' was a Washington, but didn't know he's Denzel's

Denzel's dad was a teacher in one of MountVernon schools in NY. You may find one of his names is David so dig it.
I met his parents when they came to visit one of the former colleague at the nursing home. The follwing week Denzel visited with his wife and mum. The colleague passed away few weeks later.
 
Nina kawaida ya kusoma historia za casts wa tv series au movies ninazo angalia, so hili nililitambua baada ya kuanza angalia ballers na nilikuwa namfananisha maana nshawahi muona kwenye videos
 
Nina kawaida ya kusoma historia za casts wa tv series au movies ninazo angalia, so hili nililitambua baada ya kuanza angalia ballers na nilikuwa namfananisha maana nshawahi muona kwenye videos

Huwa nafanya hivyo pia mara nyingi, ila this time around sijui ilinipita wapi. Mpaka jana wakati najaribu kudownload catalogue ya Denzel, ndio nikamuona mshkaji mahali.
 
Back
Top Bottom