I met his parents when they came to visit one of the former colleague at the nursing home. The follwing week Denzel visited with his wife and mum. The colleague passed away few weeks later.Denzel's dad was a teacher in one of MountVernon schools in NY. You may find one of his names is David so dig it.
Itakuwa wanamaanisha baba naniliu....yule wa bombodia
Hata sio vizuri[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]Mkuu ujue hii lugha ngumu ndo maana ata Juma Pumba haitumii
Cc. Tundu Lisssu.Itakuwa wanamaanisha baba naniliu....yule wa bombodia
Nina kawaida ya kusoma historia za casts wa tv series au movies ninazo angalia, so hili nililitambua baada ya kuanza angalia ballers na nilikuwa namfananisha maana nshawahi muona kwenye videos
Unanitisha ama?Unachokitafuta utakipata.