I love my wife but...


Mkuu nahisi you are possesed with dimons/evil spirit. Ukisoma mithali unaambiwa mwnamke mpumbavu anabomoa nyumba yake kwa mikono yake (tune this to yourself). Hao unaowaita marafiki wa kike unahisi ni wazuri kwako?

Nakatiza nikiendelea naweza kukutolea maneno machafu zaidi. Ushauri achana na wanawake hao siyo wazuri kwako! soon utaamini kile mkeo anachokuzuia.
 
Hahahahahah lol! We hutaki mchezo kwenye maeneo yako ya kujidai 🙂🙂


 
Last edited by a moderator:
Kaazi kwelikweli,hajiamini huyo,ni kazi sana kuishi na mtu wa aina hii!Kama hujiamini huwezi kumwamini mtu!Pia watu wa aina hii mara nyingi wanakuwaga sio waaminifu,wanahisi wanayofanya wao na wengine wanafanya,wanapambana na mawazo yao kwa kuwashutumu wengine!
 

Shida ya huyu jamaa... aidha kaoa bado umri mdogo....au ni mtoto pekee ktk tumbo la wa kike wengi na lenye malezi tata...ndoa iheshimiwe na watu wote..
 
Kama kuna kitu nachukia duniani ni hicho mkuu wewe ni mume wa mtu kujifanya eti ana urafiki na maledies na kusema eti ni friends tu
kuwa natural
kuwa mwanaumme



Dah!!!
 




The good thing ni mwanaume mwenzie waongea..... Labda itamsaidia kuona with a new perspective...
 
The good thing ni mwanaume mwenzie waongea..... Labda itamsaidia kuona with a new perspective...

AD habari yako dear
Naamini uko salama
Afadhali umekuja bana na wewe u9seme ya kwako
Asante sana kwa kuuona uzi huo
 
mbona umeshtuka sis?
ebu nisaidie kuna connection ya married man a.k.a father of the house na kuchat full time till midnight na maledies? ni thread gani iyo wanaifanyia chitchat mwaka mzima eti? maledies wenyewe ndo kina sisi eti? ina make sense? personaly siwezi kuwa na urafiki na mume wa mtu.hata ofsini kwetu the way navowatreat wafanyakazi wenzangu waliiooa ni tofauti na ninavowachukulia mabachelor wenzangu.kwanza wengi sipendi hata no zao na nilishawaambia kabisa.
kwani wanaume wengi wamekosa adabu kweli sijui wamekosa nini huko kwao
 
AD habari yako dear
Naamini uko salama
Afadhali umekuja bana na wewe u9seme ya kwako
Asante sana kwa kuuona uzi huo


R' you are rite mie mzima kabisa dear...
Kwa ulosema kweli kabisa umemaliza,
ikiwa sealed na maneno ya Smile...

Mie najua mume aweza kua na marafiki wa kike
but hao marafiki kama wako genuine watakua
respective kwa privacy yake hasa inapohusiana
na kupiga simu mida ambayo si ya kazi....
 



Uko sahihi.... Kuna wakati wa marafiki (hata kama wa kiume) na wakati wa familia hasa mke.... Nilipenda pale uliposema "Man up"
 

Mkuu wendo umemaliza kabisa asipokuelewa mmmmhmmm!
 

Kabisa na wala haikatazwi
ila kuhug na kukiss na kuitana honey ai sweet au darling kuishie huko huko ofcn au darasani
na sio unahamishia nyumbani ule muda ambao mke nae anataka attention yako
Watu wengine kweli hawana ustaraabu na ni hao hao wanaokuja kusema ndoa ngumu sana na wake zao hawaeleweki kabisa
 
Jipange Mkuu, wife ni wife na friends ni friends! Unaweza kuwa karibu na hao unaowaita marafiki zako nyakati za kazi na mchana kama mazingira yanaruhusu, lakini nyakati za jioni ni kwa ajili ya wewe na mkeo tu
 



mmh! R' hata huko ofisin kwako ndio akuite sweet/darling na aku hug? Kama ni mkeo nisije kukuta aisee....lol
 
mmh! R' hata huko ofisin kwako ndio akuite sweet/darling na aku hug? Kama ni mkeo nisije kukuta aisee....lol

haitotokea aise
Kuna mazingira ambayo huruhusiwi kuyavuta kwa upande wako
na moja ya hayo ni kuwa makini katika matendo na maneno
Maana ukijiponza kufanya hayo iko siku utatamani kufanya kile ambacho huwa unamuita kwa mfano kama umezoea kumuita darling utatafuta namna ya kutimiza lengo la yeye kuwa darling wa pembeni na ni sumu snaa
 
Uko sahihi.... Kuna wakati wa marafiki (hata kama wa kiume) na wakati wa familia hasa mke.... Nilipenda pale uliposema "Man up"
mimi huwa naamini sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na busara na hekima/wisdom.napenda mwanaume anaeishi kiume.
sidhani kama mwanaume ambae ana busara anaweza kuwa tu anachatichati na maledies ovyo khaaa????
 
Hahahaha

Ku kiss na kuitana darling tena? wanawake wenyewe hawa wa siku hizi si akikikita kisimu cha mchina na hizo msg anakichovya kwenye ndoo ya maji!

Anyways najaribu kuwabunguza hawa buddies lakini ita take time kidogo for the time being coz alinikuta na hawa watu itabidi awe mpole wakati wanapungua kidogo kidogo. Roma haikujengwa siku moja
 
kuna lijamaa bwana nikalipa no yangu kiukweli nilikuwa namuheshimu sana ila siku hzi ni adui yangu no moja kisa nilikataa kuchati nae.yeye ni mume wa mtu
usiku anataka tuchati eti oooh nina sms 200 nataka ziishe nimeweka kwa ajili yako. mimi ni wa sms 200 mimi?yule jamaa kiukweli nilimdharau sana eti anadai anapenda sana kuchati na maledies,mkuu dunia ina mambo hii.yaani nilijuta kumpa no yangu
 
issue ni jinsi ya kudeal nao kipindi hichi cha mpito?ndo uchati nao hata kitandani kisa ulikutwa nao? ishi kiume mkuu.tumia busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…