The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio kwanza namsikia leo huyo sijui Dr lizy,
Watu kumbe mpo serious sana na member wa JF.
Watu kumbe mpo serious sana na member wa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo ana psycho problems 😃Halafu majina yake mapya yanaungana na mfanano fulani kwa walizosoma Cuba maana mwanzo alikuwa kwenye gwanda za @ShedrackAmri
Hahahahaha ngoja nione za wenzangu zikoje kisha nami nijinadi .feb14 nipate wakumtumia japo zawadiKila mmoja aanze kunadi sera zake sasa ili nichague moja .. Tare14 wiki ijayo si mnajua
Ka totooo na wewe ndio umejifanya kama serikal kabisa[emoji849][emoji849][emoji849]Kila mmoja aanze kunadi sera zake sasa ili nichague moja .. Tare14 wiki ijayo si mnajua
Tupo bize na hizi pisi mkuu , kuna binti anaitwa Nifah kashaonyesha kumbe lolote linaweza kutokea humu ,nan asiependa kuitwa kaka mzuri mkuu[emoji12][emoji12]Ndio kwanza namsikia leo huyo sijui Dr lizy,
Watu kumbe mpo serious sana na member wa JF.
Ukiwa najina lisiloeleweka ni la kike ama la kiume dogo anaweza kukulima sound mchana kweupe na kukufungulia uzi kabisa.[emoji1][emoji1][emoji1]Dogo ana psycho problems [emoji2]
😃😃😂😂Hahahahaha ngoja nione za wenzangu zikoje kisha nami nijinadi .feb14 nipate wakumtumia japo zawadi
We endelea kushangaa shangaa,, Tare14 utakua pekeyako kwenye kupaka majibu😃Ka totooo na wewe ndio umejifanya kama serikal kabisa[emoji849][emoji849][emoji849]
Huo uchaguzi ndio wa serikali za mitaa au uchanguzi mkuu wa uraisi wabunge na madiwani????[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mimi nasimamia tu uchaguzi , usije ibukia kwa lingumbaru la kataa ndoa kama mimi toto wetu.We endelea kushangaa shangaa,, Tare14 utakua pekeyako kwenye kupaka majibu😃
Aisee Bora umenisanua😂Mimi nasimamia tu uchaguzi , usije ibukia kwa lingumbaru la kataa ndoa kama mimi toto wetu.
Nipo makini😊😊😊Aisee Bora umenisanua😂
Unaweza kuta ni yule mwamba anaetafuta ajira [emoji16]Ukimpata huyo umepata kitu chema. Ila Naungana na Dejan, ID yako ya siku zote ni muhimu. Isijekuwa moja ya wale mnaotuchamba humu kutwa [emoji28]
Ila acha kwanza nipokeee japo zawadi ya valentine...tarehe15 tunaachana kabla ya kunjunjana😃😃Nipo makini😊😊😊
Yaani pamoja na sifa zote hizo Babu yake nilizotaja bado unataka kututania Wazee Kwa kuweka hizo elfu 30 Kwa bahasha.Kama under 35 huyu bado anafaa hata mimi nam mudu hanisumbui kabisaa. Posa elfu 30 au 50 niweke kwenye bahasha??
Mzee Kama kishija uchumba milioni 3, na mahari 10m.Yaani pamoja na sifa zote hizo Babu yake nilizotaja bado unataka kututania Wazee Kwa kuweka hizo elfu 30 Kwa bahasha.
Hizo elfu 30 Kwa gari tu anayotumia, akiweka mafuta gari haifiki hata Mwenge kutokea Upanga inakuwa imeshawaka taa.
Hebu Fanya uweke milioni 3, then tukikaa kikao Wazee tutakutajia mahari ambayo haitapungua milioni 10 🤗🏃🏃🏃🏃
Ungekuta ndio mimi naitwa hivyo bichwa lingenivimba sijui kama ningesikiliza mtu humu[emoji4][emoji4]Nimecheka sana. Itapendeza kaka wazuri mkiwa wengi. [emoji1787][emoji1787]
Sweetheart, hujamjua tu huyo mtu kumbe? Na huwa anatuchamba balaa.Ukimpata huyo umepata kitu chema. Ila Naungana na Dejan, ID yako ya siku zote ni muhimu. Isijekuwa moja ya wale mnaotuchamba humu kutwa 😅