I love so much Lizy

I love so much Lizy

Yaani pamoja na sifa zote hizo Babu yake nilizotaja bado unataka kututania Wazee Kwa kuweka hizo elfu 30 Kwa bahasha.

Hizo elfu 30 Kwa gari tu anayotumia, akiweka mafuta gari haifiki hata Mwenge kutokea Upanga inakuwa imeshawaka taa.

Hebu Fanya uweke milioni 3, then tukikaa kikao Wazee tutakutajia mahari ambayo haitapungua milioni 10 🤗🏃🏃🏃🏃
Punguza utapeli we mzee😂
 
Kwa Mwanamke uliyempenda hutashindwa kumtolea hata milioni 50.

Mwaka 1973 wakati namwoa Bibi yenu, nililipa mahari ya shilingi 915. Yaani I had to collect 16 months salary kuweza kutimiza hiyo hela 🙌

Ingia google angalia hiyo pesa ina thamani gani Kwa leo 🤗
Bora wewe ulikua una uhakika bibi utakua unamla peke yako
 
Back
Top Bottom