Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
nishakosa mke kizembe tu hahahahaHata ukinipa mpaka password na ikakubali, bado ntakataa katu katu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishakosa mke kizembe tu hahahahaHata ukinipa mpaka password na ikakubali, bado ntakataa katu katu.
Hapana nisinge weza😀🤣, afanane na jirani- would🤣Wanasema kuchapiwa ni Siri ya ndani eti 😜
Sisi miaka yetu ya 69's ilikuwa kawaida Mkeo kupata mtoto na akafanana na Uncle wa Jirani, muhimu ikitokea Mkeo akamchukia huyo uncle akiwa Mjamzito 😅
Mkisikia Uzee dawa mjue tumevumilia vingi 🤗😜
Afu ye ana hisi ni sifa, hajui it ain't collMfadhaiko wa akili ni tatizo kubwa sana mdogo wangu.
Mtoto anafanana na jirani, ukiuliza unaambiwa Mkeo alimchukia jamaa akiwa Mjamzito, hivyo mtoto lazima atoke amefanana naye 😅🙌Hapana nisinge weza😀🤣, afanane na jirani- would🤣
Ninge piga na kuvunja 🤣🤣Mtoto anafanana na jirani, ukiuliza unaambiwa Mkeo alimchukia jamaa akiwa Mjamzito, hivyo mtoto lazima atoke amefanana naye 😅🙌
Wazee tumepitia mengi 🤗
HahahahahaSimfahamu@Dk Lizzy wala sikufahamu wewe mtoa mada..ila mbona naona hamuendani? au unaomba kazi ya uhouseboy? maana art yako inasadifu ni empty set(natania?
Duuh hii sikuiona asee
Hahaha