i love u so much please understand me

i love u so much please understand me

haitasaidia mdogo wangu anajijua na message sent ila sijui kama itakua deliverd or not...i love him so much and i want him

pole dada, mpende akupendae lakini. Kama ushaanza kuumia hata hamjaanza rasmi mahusiano mkianza si itakuwa sheshe. We mpotezee, usisabishe akakupa mapenzi ya huruma.
 
Oooh...this sounds so touchy!
I wish i was the man, with all that good-omen, having someone out there to love me like she is dying tomorrow!
By the way, JF relations are just virtual, although some of us have gone some inches deeper with JF thing.
Na atakapoona unamsaka sana atakaa mbali zaidi akikuchora. chunga!!
so what should i do then..i have done a lot seens but he seems not to care
akifanya kunichora atanifanya nijiue bure
 
labda uje PM, tukushauri as a family 🙂

pole my dia.

Mr ulopendwa, pendeka basi hata kwa 'sweet Nothings' zina raha yake na zinapunguza presha.
Acha hizo!
Tutapenda wangapi?
 
huu si uchuro???

Unimaind na uzee huo nikupeleke wapi??

Ujana ula na nani uzee uniletee mie.

Nikome mtetea wa watu jogoo wangu kakaribia kuwika lol

Halafu we Kongosho ujue unantesa,au na we unataka nije kulialia jamvini ndo ujue naku maind?
 
Last edited by a moderator:
Jamani darling hata hutaniwi yaani ndio umekuja kunishitaki huku MMU.
 
Kila nikimpa ki date anaingia mitini,mwambie afanye kweli kesho jioni tukutane msasani slipway.

teh teh teh, kumbe anakupenda ila anaogopa kidate?! Ya kweli hayo au wanipiga fiksi?
 
jamani Spain wananipa raha lakini

Bishanga wee vipi?
 
Last edited by a moderator:
obsession and desperation are not love...

you don't love him

you just don't like yourself that much

so your problem is how you see yourself and how much you love yourself...

love and happiness comes from within not from outside
 
obsession and desperation are not love...

you don't love him

you just don't like yourself that much

so your problem is how you see yourself and how much you love yourself...

love and happiness comes from within not from outside
so what i must do to make my sense come back beacause am loosing my mind here
 
Back
Top Bottom