Naomba siku nikishusha yangu usifukue please!No imebidi nicheki background... Hii ni love at first sight... Yanauma mno
Sasa tufanyeje ni sikukuu hizi mdogo wangu!!Kaka jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mtu akianza kufukua ya kwako utajisikiaje eti jamani
Ndo mseme ukweli jamani, sio kuleft kimya kimya tuu akii kakaa!Sasa tufanyeje ni sikukuu hizi mdogo wangu!!
Naomba siku nikishusha yangu usifukue please!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2210][emoji2210][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hata huko wasap kwenye magroup tunaleft kimya kimya tu, sio lazima tuage mdogo wangu, ilà trust me huyu wake wataunganisha nyoyo come end of January.Ndo mseme ukweli jamani, sio kuleft kimya kimya tuu akii kakaa!
I was thinking u, hafadhari umetangulia huku kwenye kuombana misamaha, mana siku nikikukosea itabidi nisome kwanza sonnet za Shakespear au novel za Charles Dickens, ndo ni apologies, kwenye hiki kitengo cha apologising siko vizuri. Daaaah. nakuwaga na moyo mgumu kama Farao.Mapenzi bwana!
[emoji87][emoji87][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87]Mkuu inaonekana aligoma kutuma nude pictures Baada ya kupata shauri nyingi za wadau humu kuwa asitume
Naona unazidi kufukua makaburi.My Husband to Be
1.HANDSOME 2. COLOUR =WHITE OR CHOCOLATE 3.TALL 4.AGE=34 TO 44 5.MATURED 6.A BUSINESS MAN SOMEONE WHO TRAVELL DIFFERENT TYPES OF COUNTRIES . 7.SOMEONE WHO SHOWS ME LOVE TRUE LOVE. 8.SOMEONE WHO WILL TREAT ME RIGHT . 9. I LOVE IF HE KNOWS ENGLISH EVEN BROKEN.www.jamiiforums.com
Tutamcheka tutambeza tutamkejeli na kumdhihaki mleta mada lakini kamwe hatujachukua walau sekunde kutafakari kipindi anachopitia na jitihada za kuomba suluhu hadi kufikia kuja kupost hapa
Kuna maumivu yake makubwa sana kwenye hili... Mwana kala buyu hataki kusamehe... Hatujui kosa ni ninini hivyo siwezi kuhukumu kikubwa hapa ni mmoja kaamua kujishusha kabisa na kuomba radhi kwa njia hii... Ametua mzigo mzito...
Naona unazidi kufukua makaburi.
Back to your first coment. Inaonekana she is serious; should it be a woman
Amini nakuambia, hakuna mlengwa hapa...
Sawa kaka!Hata huko wasap kwenye magroup tunaleft kimya kimya tu, sio lazima tuage mdogo wangu, ilà trust me huyu wake wataunganisha nyoyo come end of January.
HahahahahahaI was thinking u, hafadhari umetangulia huku kwenye kuombana misamaha, mana siku nikikukosea itabidi niseme kwanza sonnet za Shakespear au novel za Charles Dickens, ndo ni apologies, kwenye hiki kitengo cha apologising siko vizuri. Daaaah. nakuwaga na moyo mgumu kama Farao.
Morning.
This is a blunder! You are escalating the problem, instead of minimizing it, iwapo tu mahusiano unayojaribu kuyatetea, ni ya nje ya urafiki wa kawaida na ni kwa mtu ambaye ni wa opposite sex kwako. Unadhihirisha udhaifu wa hali ya juu sanaTo the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.
IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE