I Love u so much

I Love u so much

Serious nitamshukuru mno ili nipate nafasi ya kujitafakari na kujiangalia nilikotoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mtu akianza kufukua ya kwako utajisikiaje eti jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2210][emoji2210]
 
Mapenzi bwana!
I was thinking u, hafadhari umetangulia huku kwenye kuombana misamaha, mana siku nikikukosea itabidi nisome kwanza sonnet za Shakespear au novel za Charles Dickens, ndo ni apologies, kwenye hiki kitengo cha apologising siko vizuri. Daaaah. nakuwaga na moyo mgumu kama Farao.
Morning.
 
Naona unazidi kufukua makaburi.
Back to your first coment. Inaonekana she is serious; should it be a woman
 
Amini nakuambia, hakuna mlengwa hapa...
Tutamcheka tutambeza tutamkejeli na kumdhihaki mleta mada lakini kamwe hatujachukua walau sekunde kutafakari kipindi anachopitia na jitihada za kuomba suluhu hadi kufikia kuja kupost hapa

Kuna maumivu yake makubwa sana kwenye hili... Mwana kala buyu hataki kusamehe... Hatujui kosa ni ninini hivyo siwezi kuhukumu kikubwa hapa ni mmoja kaamua kujishusha kabisa na kuomba radhi kwa njia hii... Ametua mzigo mzito...
 
Hata huko wasap kwenye magroup tunaleft kimya kimya tu, sio lazima tuage mdogo wangu, ilà trust me huyu wake wataunganisha nyoyo come end of January.
Sawa kaka!
 
I was thinking u, hafadhari umetangulia huku kwenye kuombana misamaha, mana siku nikikukosea itabidi niseme kwanza sonnet za Shakespear au novel za Charles Dickens, ndo ni apologies, kwenye hiki kitengo cha apologising siko vizuri. Daaaah. nakuwaga na moyo mgumu kama Farao.
Morning.
Hahahahahaha
Morning my dear!!

Mimi huwa ukishakubali kosa nakusamehe hata kama hujaomba msamaha!!

Siwezagi kubeba kitu kwa kifua jamani!
 
To the head above why can't you forgive me for once,I know you are reading this.

IF I OFFENDED YOU IN ANYWAY LOVE FORGIVE ME PLEASE
This is a blunder! You are escalating the problem, instead of minimizing it, iwapo tu mahusiano unayojaribu kuyatetea, ni ya nje ya urafiki wa kawaida na ni kwa mtu ambaye ni wa opposite sex kwako. Unadhihirisha udhaifu wa hali ya juu sana
 
Naona kitumbua kilichokwisha ingia mchanga sasa chafutwa futwa
 
Back
Top Bottom