Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Usijali kabisaa jamani!Basi ni vyema tuta match, mana nakuwa open sana nikikosea ila shida inakuja kwenye kuomba msamaha tu, yani hapo daah.[emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali kabisaa jamani!Basi ni vyema tuta match, mana nakuwa open sana nikikosea ila shida inakuja kwenye kuomba msamaha tu, yani hapo daah.[emoji848][emoji848][emoji848]
You You know it is not him there is another person who i am with not Mlevi Mmoja mlevi mmoja his my Super Super Super Best friend in everything.Novemba 24 ... Ukasema Dear MLEVi Mmoja .......hapa wana tukasema mambo yameiva..
Novemba 30.... Ukauliza, Nisahihi kumtumia Bwanako Picha za Uchi?????... Hapa kwasis tuliomakin, tukajua moja kwa moja MLEVi Mmoja ndo kakuomba picha izo....
Leo Desemba 10 .... Unaomba msamaha ....... Hapa kuna mawili.... Uligoma kumtumia picha mlevi mmoja.... Au ulimtumia ila jamaa akua serious ... Au ulimtumia jamaa akala na mzigo .... Sasa kapotea...
Kwaufupi, Amini usiamini, hivoivo tu mpaka mwisho mnaachana ukiwa umeshatafunwa na baharia !!!.
Usiumie sana lkn, mmekutana kimjin mjini na mtaachana kimjini mjini...
Ktk hayo yote, Usisahau Kondomu !!!
Mkuu samehe mara saba 70Mkuu [emoji16] [emoji23][emoji23]vipi tena