I love you baby

I love you baby

Hakuna kitu kigumu duniani kama Imani Ndio maana watu Wana toka mapovu Hii yote ni katika kuamini kuwa asichokifanya Yeye Hakuna mwingine wa kukifanya tubadilishe mfumo wa mapenzi kwa wenza wetu Hakuna kinacho shindikana
 
Tutaishia kuona kwenye tamthilia wanaume wa siku hizi burreee
 
Hizo filamu zenu huwa mnazileta kwenye uhalisia ndo mana ndoa hazidumu.
 
Katika yote uliyosema uko tayari kuyafanya sijaona ukitaka nikununulie Range Rover new model nitamunua
Roho ya Mwanadamu haijawai Kuridhika Ndio maana Umeweka hilo Swali jifunze kuthamn kidgo huku Ukiomba kikubwa
 
Back
Top Bottom