I love you ladies...yes i love you so much!!!

thank u sanaaaa n big up kwa kuelewa mchango wa mwanamke katika maisha yako, kwa msisitizo zaidi plz mwambie pia na mkeo how u value her maana wanaume wengi wanaappreciate their wives pembeni!i hope ur not one of them...,
 
thank u sanaaaa n big up kwa kuelewa mchango wa mwanamke katika maisha yako, kwa msisitizo zaidi plz mwambie pia na mkeo how u value her maana wanaume wengi wanaappreciate their wives pembeni!i hope ur not one of them...,


Thanks Nailyne rafiki...infact am not6 one of them

This is the diet of my marriage....it has to be taken not less than three times a day within a very time. Kabla ya kulala lazima niseme nae ninavyomkubali na mchango wake kwa siku husika kwenye maisha yangu...

I always finding myself appreciating her for everything she is doing na hii imeendelea kutuweka pamoja imara

The Following User Says Thank You to Nailyne For This Useful Post:

NewDawnTz (Today)
 

kaka unanipa somo zuri sana.......
 
Ubarikiwe mtoa mada kwa kuliona na kulitambua hili. Mwanamke ni chumvi ya dunia. Wanawake ndio walioijaza dunia. Wanaume msinitoe pua maana yangu ni kwamba wingi wa wanadamu chini ya jua ni kazi ya mwanamke kwani mwanamke alikuwa bado ana nafasi ya kutupa alichokibeba tumboni na kuendelea na maisha lakini ni uvumilivu wa wanawake ndio umeijaza hii dunia.
 

'i feel love is in air' as btn u n ur wife of course!!.... hongera sana sana hayo ndo mambo wanaume wanapaswa kuiga!mungu akujalie upendo zaidi na zaidi ili huyo mwanamke mwenzetu awe katika wale wanawake wachache wasiolalamikia ndoa zao.
 
basi mijisifa kibaooo watakavojiona..................


Mkuu waache wajinafasi....umuhimu wao unawapa haki ya KUJIONA maana wanastahili

Mimi hawa watu huwa najaribu kuwaweka kwenye akili yangu hawatoshi...hakika ni wa pekee

Kaa chini kama dakika 2 hivi halafu anza kuwatafakari...unaweza kuishia kesho....

Ni utamu wa dunia....they are more than
 
At long last a thread that can lift the spirit of the Ladies after alot of useless threads the last few weeks that ruffled and rubbed them the wrong way NewDawnTZ thanks on behalf of us guys who respect/appreciate/honour ladies.
 

I loves that song. When a Woman Loves
 
Mungu akubariki kwa maneno haya,umefuta baadhi ya vidonda vinavyotokana na dharau,kejeli na udhalilishaji.
Asante sana sana
,natamani Mungu angeweka maono haya kwa kila mwanaume,the world would have been the best place to live.:smile-big:

At long last a thread that can lift the spirit of the Ladies after alot of useless threads the last few weeks that ruffled and rubbed them the wrong way NewDawnTZ thanks on behalf of us guys who respect/appreciate/honour ladies.


Mkuu nakupa thanks kwa kuona jambo hili

Nimeambatanisha na thread Michelle uone the way huwa hatuwatendei haki hawa viumbe muhimu na wanoipa raha dunia hii

Hakika wanajisikia raha sana na wanastahili kuheshimiwa nasi



The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

NewDawnTz (Today)
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:
 
Ahsante sana Mkuu kwa kuwapa heshima hawa mama zetu na dada zetu. Hakika wanastahili heshima hii na wanaifanya dunia yetu kuwa mahali pazuri na penye kukalika.

Kwa wale wenzangu Wakristo kuna kitabu cha Mithali 31 kinataja vizuri kabisa virtues za mwanamke mwema. Namini kama wanaume wakatumia mfano wa Kristo wa kumchukulia mwanamke kama yeye alivyolichukulia kanisa, na wanawake wakaishi beatitude/vertues hizi basi mambo yangeenda vizuri zaidi

Hongereni wanawake kwa kufanya tofauti kubwa kwenye dunia hii
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:


Oooh!!! Childish thing.......you mean me or???

Kama ni mimi uko sawa kabisa...mimi ni bikira wa WANAWAKE ila sio wa MWANAMKE.
am married to a single wife and i like to be called Zoba kwa kusema ukweli juu ya viumbe hawa wa tofauti kwenye maisha ya mwanaume na familia kwa ujumla

Usihangaike na WANAWAKE....tafuta MWANAMKE mmoja anaekufaa na utakaemfaa then anza maisha nae na siku moja utakuja hapa na kukiri uzuri na umuhimu wao kwetu
 

Achana nae huyo....
. Anajaza post...lol
 
Achana nae huyo....
. Anajaza post...lol

c.o najaza post..we na mkeo sifianeni chumbani,..na wewe mbona wako humsifii..!au unafuraiya wawenzio2.!?letn mada zamuhmu...
 

kaka still following you.....forget about the short comings.
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:
Kati ya wewe na NewdawnTz wewe ndio Zooba usieheshimu na kuthamini wanawake dada/mama/wake/watoto/ndugu/jamaa/jirani zetu.
 

U really made my day laiti ego za wenzio wengi zingewaruhusu kukiri hayo uliyokiri... The world wud v bn so different! GOD bless u kakaangu na akuongezee kila lililo jema kutoka kwa the women in ur life (wife, mum, sisters, daughters, frendz)..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…