I love you ladies...yes i love you so much!!!

I love you ladies...yes i love you so much!!!

thank u sanaaaa n big up kwa kuelewa mchango wa mwanamke katika maisha yako, kwa msisitizo zaidi plz mwambie pia na mkeo how u value her maana wanaume wengi wanaappreciate their wives pembeni!i hope ur not one of them...,
 
Thanks Nailyne rafiki...infact am not6 one of them

This is the diet of my marriage....it has to be taken not less than three times a day within a very time. Kabla ya kulala lazima niseme nae ninavyomkubali na mchango wake kwa siku husika kwenye maisha yangu...

I always finding myself appreciating her for everything she is doing na hii imeendelea kutuweka pamoja imara

The Following User Says Thank You to Nailyne For This Useful Post:

NewDawnTz (Today)
 
kaka unanipa somo zuri sana.......
 
Ubarikiwe mtoa mada kwa kuliona na kulitambua hili. Mwanamke ni chumvi ya dunia. Wanawake ndio walioijaza dunia. Wanaume msinitoe pua maana yangu ni kwamba wingi wa wanadamu chini ya jua ni kazi ya mwanamke kwani mwanamke alikuwa bado ana nafasi ya kutupa alichokibeba tumboni na kuendelea na maisha lakini ni uvumilivu wa wanawake ndio umeijaza hii dunia.
 
Thanks Nailyne rafiki...infact am not6 one of them

This is the diet of my marriage....it has to be taken not less than three times a day within a very time. Kabla ya kulala lazima niseme nae ninavyomkubali na mchango wake kwa siku husika kwenye maisha yangu...

I always finding myself appreciating her for everything she is doing na hii imeendelea kutuweka pamoja imara

The Following User Says Thank You to Nailyne For This Useful Post:

NewDawnTz (Today)

'i feel love is in air' as btn u n ur wife of course!!.... hongera sana sana hayo ndo mambo wanaume wanapaswa kuiga!mungu akujalie upendo zaidi na zaidi ili huyo mwanamke mwenzetu awe katika wale wanawake wachache wasiolalamikia ndoa zao.
 
basi mijisifa kibaooo watakavojiona..................

Mkuu waache wajinafasi....umuhimu wao unawapa haki ya KUJIONA maana wanastahili

Mimi hawa watu huwa najaribu kuwaweka kwenye akili yangu hawatoshi...hakika ni wa pekee

Kaa chini kama dakika 2 hivi halafu anza kuwatafakari...unaweza kuishia kesho....

Ni utamu wa dunia....they are more than
 
At long last a thread that can lift the spirit of the Ladies after alot of useless threads the last few weeks that ruffled and rubbed them the wrong way NewDawnTZ thanks on behalf of us guys who respect/appreciate/honour ladies.
 
Thanks so much and for you sure we cant live without you guys,no mata wat u pipo are alwaz part of us,If u respect a woman u first respect ur mom,siz and all the woman in the wolrd! Go and listen to R kelly in When a woman loves She, she loves for real When a woman loves She, she, she loves for real She took me back After I broke her..........................

I loves that song. When a Woman Loves
 
Mungu akubariki kwa maneno haya,umefuta baadhi ya vidonda vinavyotokana na dharau,kejeli na udhalilishaji.
Asante sana sana
,natamani Mungu angeweka maono haya kwa kila mwanaume,the world would have been the best place to live.:smile-big:

At long last a thread that can lift the spirit of the Ladies after alot of useless threads the last few weeks that ruffled and rubbed them the wrong way NewDawnTZ thanks on behalf of us guys who respect/appreciate/honour ladies.

Mkuu nakupa thanks kwa kuona jambo hili

Nimeambatanisha na thread Michelle uone the way huwa hatuwatendei haki hawa viumbe muhimu na wanoipa raha dunia hii

Hakika wanajisikia raha sana na wanastahili kuheshimiwa nasi

The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

NewDawnTz (Today)
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:
 
Ahsante sana Mkuu kwa kuwapa heshima hawa mama zetu na dada zetu. Hakika wanastahili heshima hii na wanaifanya dunia yetu kuwa mahali pazuri na penye kukalika.

Kwa wale wenzangu Wakristo kuna kitabu cha Mithali 31 kinataja vizuri kabisa virtues za mwanamke mwema. Namini kama wanaume wakatumia mfano wa Kristo wa kumchukulia mwanamke kama yeye alivyolichukulia kanisa, na wanawake wakaishi beatitude/vertues hizi basi mambo yangeenda vizuri zaidi

Hongereni wanawake kwa kufanya tofauti kubwa kwenye dunia hii
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:

Oooh!!! Childish thing.......you mean me or???

Kama ni mimi uko sawa kabisa...mimi ni bikira wa WANAWAKE ila sio wa MWANAMKE.
am married to a single wife and i like to be called Zoba kwa kusema ukweli juu ya viumbe hawa wa tofauti kwenye maisha ya mwanaume na familia kwa ujumla

Usihangaike na WANAWAKE....tafuta MWANAMKE mmoja anaekufaa na utakaemfaa then anza maisha nae na siku moja utakuja hapa na kukiri uzuri na umuhimu wao kwetu
 
Achana nae huyo....
blabla.gif
. Anajaza post...lol
 
Achana nae huyo....
blabla.gif
. Anajaza post...lol

c.o najaza post..we na mkeo sifianeni chumbani,..na wewe mbona wako humsifii..!au unafuraiya wawenzio2.!?letn mada zamuhmu...
 
Oooh!!! Childish thing.......you mean me or???

Kama ni mimi uko sawa kabisa...mimi ni bikira wa WANAWAKE ila sio wa MWANAMKE.
am married to a single wife and i like to be called Zoba kwa kusema ukweli juu ya viumbe hawa wa tofauti kwenye maisha ya mwanaume na familia kwa ujumla

Usihangaike na WANAWAKE....tafuta MWANAMKE mmoja anaekufaa na utakaemfaa then anza maisha nae na siku moja utakuja hapa na kukiri uzuri na umuhimu wao kwetu

kaka still following you.....forget about the short comings.
 
weee...zoba2..maneno mengi kwel we bado bikra kwa wanawake...:
Kati ya wewe na NewdawnTz wewe ndio Zooba usieheshimu na kuthamini wanawake dada/mama/wake/watoto/ndugu/jamaa/jirani zetu.
 
Kama wewe ni mwanamke, tafadhali pokea pongezi na furaha yangu kwa dunia hii kuwa na viumbe adhimu na wa pekee wa aina yenu. Ahimidiwe Mungu aliegundua dunia bila ninyi haikaliki (kama unaamini uumbaji)

  • Nawapenda kwa tofauti mnayofanya kwenye dunia yetu. Each new day, women make some difference in this world. Yes indeed.....Its unfortunately not seen by many, but you are so fantastic

  • Najaribu kufikiri namna mlivyobeba mimba za watu kama mimi kasha zikaitwa zisizopangiliwa na mwaliowapa mimba wakawakimbia.hata hivyo, you never give it up, you carried us through alone mpaka tukazaliwakwa nini nisiwapende jamani?

  • Navuta kumbukumbu mnavyotumia siku yenu kufikiria na kuwazia watoto wenu zaidi ya sisi wanaume tunavyofanya. Kwa mbali namuona mwanaume anamka asubuhi na kupiga starter ya gari kuona kama iko vizuri kwendea ofisini kisha anarudi ndani na kupanga makabrasha yake wakati mwanamke ndani anaandaa mavazi ya mwanaume kwenda kazini na mtoto kwenda shule (huku akitakiwa kujiandaa mwenyewe kwa kuwahi kazini)

  • Navuta hisia baba yuko busy na laptop pembeni wakati attention ya mama iko kwenye kumfundisha mwanae kuvaa vema suruali au kaptura yake

  • Navuta hisia za wakti ule nilipokuwa nikiishi bila mwanamke ndani ya nyumba yangunilifanya mengi nikafanikiwa na mengine sikuona umuhimu wa kuyafanya. Alipoingia tu ndani ya nyumba yangu mwanamke, she made a difference. Nikaanza kufanikiwa zaidi ya awali na zaidi nikaanza kuona yale niliyokuwa naona hayana maana kwa sasa kuwa ya maana. I mean, your presence and advises in our lives, take us into highest reaches, viwango vikubwa zaidi ya kama hamko kwenye maisha yetu

  • Jamani nyie ni fluid ya dunia hii. Ni sawa na zile za kwenye magari kuzuia msuguano unaoweza haribu vyuma kwenye gari. Ninyi mnaifanya dunia ikalike. You are the fluid na mnajua kuweka balance nzuri. We angalia hata hapa JF, tukishatifuana kule kwenye Jukwaa la kupandisha viharusi na kufanya systolic-over-diastolic readings zetu ziwe juu, tunakimbilia huku....ukifika huku unakuta kuna Preta....unapata neno moja na kiharusi chote chali...unamkuta Rose1980, mara hujakaa vizuru mara AfroDenzi na wengineo wengi...pressure inashuka na unarudi tena Jukwaa la makeke ya kina DSM na Zomba.

Ni mengi kwa kweli na siwezi kuyamaliza hapa. Wenyewe mnayajua na wanaume ni mashahidi wa haya, mimi nikiwa mstari wa mbele

Nawachukia sana wanaowafanyia haya

  • Wanaume wanowaona si mali kitu wakati mliwabeba miezi na miezi matumboni mwenu. Hebu waambieni wanaowadharau wajaribu kufunga matambara kwenye matumbo yao na watembee nayo kwa siku nzima kama watawezathubutu, hii ya kupigwa mateke tumboni ni hatari, nakumbuka wife alivyokuwa akilalamika bwa mdogo anamkandamiza mateke na magumi tumboni....naamini ni kweli...

  • Wanaume wanaowapigahawa nawachukia zaidi. Sijui jibu la ni kwa nini mwanaume anafikia hatua ya kumpiga mwanamke. Nimejiandikia kati ya ujinga nitakaofanya duniani ni kuinua mkono wangu kumgusa mwanamkenikikasirika sana na mkono ukiwahsa nitapiga ukuta, ila kwa mwanamke sitampiga, nitamnunulia zawadi nzuri itakayomfanya avute masikio yake nimueleze kuwa alinikosea na nikajisikia vibaya

  • Wale wanaowafanya kama substances/instruments fulani za purpose ya ku-serve shida zao za muda. Hawa wanajiita playboys, mabingwa wa hit and run..Hawajui utamu wa kukaa na nyie ndani. Wangejua wangeamua kukubaliana na mmoja na kukaa nae ndani na hatimaye kupata ile raha ya kukaa na nyie kwa utulivu

Hebu nisiwachoshe JAMANI WAPENZI WANGU LADIES, NI MENGI NINGESEMA ILA FAHAMUNI TU KUWA NAWAPENDA KWA SABABU YOU MAKE THIS WORLD HABITABLE AND DIFFERENT AND YOU TAKE MEN HIGHER JAPO HUWA TUNAJIDAI HATUONI (Sio kuwa hatuoni, ila huwa tunajiai hatuoni).

U really made my day laiti ego za wenzio wengi zingewaruhusu kukiri hayo uliyokiri... The world wud v bn so different! GOD bless u kakaangu na akuongezee kila lililo jema kutoka kwa the women in ur life (wife, mum, sisters, daughters, frendz)..
 
Back
Top Bottom