Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa unafanya usafi au kulinda. Kuingia bank kama nyumbani haimaanishi Pochi kuwa Nene.Bank naingia kama nyumbani
Au mpishi mleta chakula na vitafunwaUnaweza kuwa unafanya usafi au kulinda. Kuingia bank kama nyumbani haimaanishi Pochi kuwa Nene.
πππππTunamuongezea thamani sokoni π€£π€£π€£
Bad enough ana copy google na kuja kunpaste hapa. πππYani ukitaka tukosane ujichanganye uniandikie mada ya I love you
Kumbe umejisikia vizuri kuanzishiwa uzi? Mpaka kawivu kamekushika? ππππππππ kwanini
Maigizo tu hamna kitu hapoπ π π π
Sema kweliiiii
π π π π π we ungejisikia vibayaKumbe umejisikia vizuri kuanzishiwa uzi? Mpaka kawivu kamekushika? ππππ
Mkubali bro angu Generation Z kakuelewaπthanks π
π π πWenzako wanaandamana kule wewe uko huku unalia na mapenzi