Hujachakachua, bado uko ndani ya mada kabisa! kweli ni season greeting na inapendeza kukumbushiana. the point is: hatutakiwi kusubiri aniversary au valentine day kukumbushana our love... mi nilihisi tu nampenda sana leo nikaona I should make a special dedication, na wanao penda/pendwa wote wajiskie huru kuwaambia wapenzi wao kuhusu hisia zao...Haya bana, we endelea kushow love tena kamsimu kenyewe haka.....kanono kweli kwa wishes! Heheh ebu msome AshaDii hapo kwenye signature, bila shaka mambo yananoga! (samahani mamito sichakachui uzi wako)
Haya bana, we endelea kushow love tena kamsimu kenyewe haka.....kanono kweli kwa wishes! Heheh ebu msome AshaDii hapo kwenye signature, bila shaka mambo yananoga! (samahani mamito sichakachui uzi wako)
**** we..
nlidhani dhani kupenda ni feelings .
ahhhh sijakosa wa kunipenda sababu sitafuti wa kunipenda.
is waste of time kutafuta.
ahhhh nimeridhika na kujipenda kwa kweli .
Mhhh so you guys are ganging up on me ehhh?Hahaha, Lizzy bwana! mi namuunga mkono AfroDenzi on this one! the greatest love of all is self love! Kama hujipendi utachukua chochote unacho pewa na kusema that is love. but ukijipenda mwenyewe, tena deeply,it sets the standards!
*** hunijui, sikujui achana na mimi.
Source sredi ya wasiopenda kukosolewa.
hahahahahhaah lol
The Finest bana aliniacha hoi.
Haya nakujua unajua nakujua
kwa hiyo kuachana na wewe hiyo chora chini.
Haya bana ngoja nkuache ukatange na njia ukatafute wakukupenda..
Kumbe unaongelea holiday season love?!?
Mhhh so you guys are ganging up on me ehhh?
Nwy bado nakazia kwamba watu wanaohangaika na kujipenda wenyewe hawana watu wakuwapenda hivyo wanajiridhisha kwa kudai wanajipenda wenyewe.
Hujachakachua, bado uko ndani ya mada kabisa! kweli ni season greeting na inapendeza kukumbushiana. the point is: hatutakiwi kusubiri aniversary au valentine day kukumbushana our love... mi nilihisi tu nampenda sana leo nikaona I should make a special dedication, na wanao penda/pendwa wote wajiskie huru kuwaambia wapenzi wao kuhusu hisia zao...
duhhhh
Ni bora kuhangaika kujipenda kuliku kuhanga kutafuta
wa kukupenda . Ni vipi ukimpata ambae unadhani anakupenda
halafu kumbe hakupendi alikuwa ana pretend tu anakupenda?
Tena hapo ndio kwenye point kabisaaa, naunga mkono hoja. Keep ur love alive.......
duhhhh
Ni bora kuhangaika kujipenda kuliku kuhanga kutafuta
wa kukupenda . Ni vipi ukimpata ambae unadhani anakupenda
halafu kumbe hakupendi alikuwa ana pretend tu anakupenda?
Kama sababu ya kuto penda ni uoga basi namuunga mkono Lizzy. ila kama ni just self love, umetosheka na wewe mwenyewe (bila kufungia love mlango in case one shows up) hapo sawa.Life is all about risks, take 'em.
Life is all about risks, take 'em.
Utajibeba ukishindwa ntakubeba.
I tell u Lizzy, be careful with ur heart.
When a heart is broken it does not make any noisy but it hurts for real.
Watch out and Be eyez
am in love with desh desh..........guess who? (ukikosea tu nakusemea zile sadaka ulizoiba)!! LOL
Life is all about risks, take 'em.
Hehehehehe . . . .Kama sababu ya kuto penda ni uoga basi namuunga mkono Lizzy. ila kama ni just self love, umetosheka na wewe mwenyewe (bila kufungia love mlango in case one shows up) hapo sawa.
Roulette (kigeugeu)
How can any one break a heart that's not there?
Kama sababu ya kuto penda ni uoga basi namuunga mkono Lizzy. ila kama ni just self love, umetosheka na wewe mwenyewe (bila kufungia love mlango in case one shows up) hapo sawa.
Roulette (kigeugeu)