Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
- Thread starter
- #101
Hujachakachua, bado uko ndani ya mada kabisa! kweli ni season greeting na inapendeza kukumbushiana. the point is: hatutakiwi kusubiri aniversary au valentine day kukumbushana our love... mi nilihisi tu nampenda sana leo nikaona I should make a special dedication, na wanao penda/pendwa wote wajiskie huru kuwaambia wapenzi wao kuhusu hisia zao...Haya bana, we endelea kushow love tena kamsimu kenyewe haka.....kanono kweli kwa wishes! Heheh ebu msome AshaDii hapo kwenye signature, bila shaka mambo yananoga! (samahani mamito sichakachui uzi wako)