Mnyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 335
- 82
sasa hapa hakuna hata mti wa kupanda.
Sijui itakuwaje?
Mara ya mwisho ulijikojolea lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapa hakuna hata mti wa kupanda.
Sijui itakuwaje?
Ntakuparura na makucha
Mara ya mwisho ulijikojolea lini?
heeee! Tokaaaa.
heeee! Tokaaaa.
Unataka kung'atwa wewe eeh?
Unataka kung'atwa wewe eeh?
Kumbe hata huyu anafaa kukemewa??
Ngoja nikawaite wale wa kwa Mwingira
We ngedere wewe!
I love you!I love you so much wanajamii!Have a good time
Ahsante sana kwa msg yako,
Ila mbona hujatueleza sababu ya kuwapenda wanajamii wote?
Babu DC!!
Kwani babu mtu akikwambia anakupenda lazima akupe sababu?