I love you!

I love you!

Muwe mnazisema basi hizo "I love you" mabinti wanakosa raha kama hawazisikii

I agree with you but that's only true if you love a person. What if you haven't reached the stage where you actually love a person? Should you just say "I love you" to make them happy? Because people fall in love at different times so it is quit possible that you love a person who is not ready to love you yet. Au unaonaje hili mkuu?
 
...mwingine ukijikaza kumwambia "ai lav yuu" anaangusha kile kicheko cha kebehi ....''kheeee khheeee kheeeeeee aaaaaiiiii, haya kumezidi nini leo?!''
 
Ha ha ha ha LOL! Lizy....akishakuwa mbwii ndiyo anakuona unameremeta kama malaika 😉....We Mke wangu unajua mimi nakupenda sana wewe!?...ha ha ha ha....Do you know that!?....I love u!...kumbe ana lake jambo 😉...akiamka asubuhi anauchuna husikii tena I love you mpaka akamate masanga tena...LOL!

Nakwambia we acha tu, sijui huwa ananisahau akilewaga? Pombe zikimuisha kichwani huisikii tena lol.

Lakini wanadai kujua mtu anasema ukweli subiri akiwa amelewa au akiwa ana hasira, labda kweli huwa anamaamisha ananipenda, kwi kwi kwi kwi.... Kujifariji ruksa lol.

Week end njema.
 
Hivi I love you kwa wakaka kwa wadada maana yake ni I love to have a fu.ck with you? Nimeisha wahi itumia hivyo mara kadhaa no love but a simple fu.ck
 
Nakwambia we acha tu, sijui huwa ananisahau akilewaga? Pombe zikimuisha kichwani huisikii tena lol.

Lakini wanadai kujua mtu anasema ukweli subiri akiwa amelewa au akiwa ana hasira, labda kweli huwa anamaamisha ananipenda, kwi kwi kwi kwi.... Kujifariji ruksa lol.

Week end njema.

Ha ha ha ha ha kujifariji RUKHSA!....LOL! na kama hujasikia I love you siku nyingi na una hamu ya kuisikia basi unamnunulia masanga akishakuwa mbwii anakwita mama nani hii mama nani hii hebu njoo hapa nataka kukwambia kitu...unajua wewe ni mpenzi wangu and I still love you after all this years 😉 wewe unakenua tu kwa raha tele kusikia kwamba bado anakupenda sana kama ule mwaka 47 mlipokutana rasmi ha ha ha
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vSYj9cbNWQ8[/ame]
 
Last edited:
Hivi I love you kwa wakaka kwa wadada maana yake ni I love to have a fu.ck with you? Nimeisha wahi itumia hivyo mara kadhaa no love but a simple fu.ck

Mkuu Masanilo labda, lakini sidhani kama wale wanaokwenda kwa CDs huwatamkia maneno hayo matatu kabla au baada ya kupata wanachokitaka. Kwa maoni yangu neno hilo lina uzito zaidi. Wengine labda hawajui uzito wa maneno hayo matatu.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=iz8yg9MYf8Q"]YouTube- Lionel Richie - Ballerina Girl [Highest Quality][/ame]
 
hivi kwa nini inakuwaga ngumu kulitoa hili neno!!!?mamsap huwa analisema mara nyingi tunapokuwa tunakula chakula cha ndoa tu siku hizi!! yaani sitalisikia tena hadi tunapokutana tena! nadhani ikitokea tukapitiliza miezi mitatu litakuwa limeshafutika kabisa, mara nyingine huwa analitamka ninapokuwa safarini....nadhani hapa linakuwa kama warning zaidi kwa kipindi hiki...............

Wewe huwa unasema wakati gani? Bora hata cc wanawake huwa tunajitahidi kulisema. Maana hapa umesema wife huwa analisema wakati wa chakula cha ndoa je wewe ni wakati gani?
 
I love u dad it means.....thanx for the cash..
I love u mom it means......thanx for everything...
I love u to ur gf it means.....lets have sex...


Uproarious. U made ma day. And what about I luv U to u'r bf
 
I love u ni maneno ya ajabu sana hata mtu ambaye TZ hajsoma wala hajui English anayafahamu haya maneo.
 
I love u ni maneno ya ajabu sana hata mtu ambaye TZ hajsoma wala hajui English anayafahamu haya maneo.

Haya maneno kweli Nguli ..katoto kanajifunza kuongea lakini kanajua I love you mamy
 
Back
Top Bottom