I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

Mimi nimegraduate MIT mwaka jana, ni software engineer. Kwa sasa ni intern Twitter!
Je kuna account yoyote ya twitter unataka niihack??
Vipi unaweza kuhack JF?..
If possible hack yangu Mkuu
 
Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa....

Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi.

Nawaza sana watu wanaodukuana.
Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya facebook. Achilia mbali kusoma message za watu kwenye simu zao.

Kubwa zaidi ni security ya mitandao hapa Tz iko unsecured 50++ percentage...

Nije na kaushauri...someni sana security maana ulinzi ni uhai..
Naomba niseme ningekuwa IT mimi hata yule GOGOKI kule Twitter asingefua dafu....

Mungu nipe uzima tutakutana kwenye technology
 
University ipi Kati ya hizo:-
Universiti Malaya (UM) Universiti Kebangsaan Malaysia (UKM) Universiti Putra Malaysia (UPM) Universiti Sains Malaysia (USM) Universiti Teknologi Malaysia


Mbuzibee [emoji238]
Itakuwa NJOMBE Institute of KATERERO tu
 
Mleta mada kama wazazi ndio walikusonesha pesa zimepotea bure kama ni serikali ilikusomesha pesa zimepitea bure kazi ya ku hack sio ya computer engineer ni ya Software Engineer yaani unatia hadi huruma hujui hata tofauti ya Computer Engineer na Software Engineer very sad .
Screenshot_20210404-104157.png


Yaani wewe ni mjinga hadi basi degree yako unatakiwa kunyanganywa
Asante Mkuu njoo uichukue tu ikusaidie wewe. Waelewa waelewa tu
 
Mimi nimegraduate MIT mwaka jana, ni software engineer. Kwa sasa ni intern Twitter!
Je kuna account yoyote ya twitter unataka niihack??

Hack ya kigogo
 
Back
Top Bottom