I.M.O...Three most beautiful swahili bloggers

Hakuna tatizo...ni katika kutaka kujuana zaidi rafiki yangu....nisamehe kama nimekukwaza....naomba nisiwe mtu wa kukuharibia ijumaa yako...ignore my question....Respect sana mkuu...

Kweli Kunguru Muoga hukombiza bawa lake.umeulizwa kuna tatizo maelezo meengi
 
Hakuna tatizo...ni katika kutaka kujuana zaidi rafiki yangu....nisamehe kama nimekukwaza....naomba nisiwe mtu wa kukuharibia ijumaa yako...ignore my question....Respect sana mkuu...

Sijamind sanaa, nilitaka kujua tu kama kuna tatizo some where hadi kufikia kutak kujua jinsia yangu, maana kwenye thread hatukuzungumzia kuhusu jinsia.. Pengine labda ulijua jinsia yangu na ulitaka tu nifedheheke,yote yanawezekana.. Kuhusu kuniaribia mood uwa naamua mwenyewe,I know psychology
 
Yaishe mkubwa...nakiri nimekosa..nisamehe...sikua na nia ya kukufedhehesha....unajua siku zote nahisi wewe ni mwanaum..kuna coment nimekujibu nikataka kukuita kaka ila nikasema what if sio...ndio nikakuuliza ili wakati mwingine niwe na uhakika...maandishi yako yanaonesha kuwa wewe ni mwanaume ila nilitaka tu niwe na uhakika....
 
Kweli Kunguru Muoga hukombiza bawa lake.umeulizwa kuna tatizo maelezo meengi

Mimi sio muoga bali ni muungwana...sikuuliza swali kwa nia mbaya ila baada ya kuuliza nikagundua nimefanya kosa maana ndugu yangu warumi anaonekana kukwazika....Naapa sitakaa nimuulize tena mtu jinsia yake...
 
Last edited by a moderator:
Jestina Joji mbebs mkareeez kuliko wote maUK huko akifuatiwa na Mbuta Nanga halafu Starlisha aka Chagga Barbie anafunga dimba.

Jombaa hapo kati kwenye list yako kaka yako niko hooooiii.

Mimi sio muoga bali ni muungwana...sikuuliza swali kwa nia mbaya ila baada ya kuuliza nikagundua nimefanya kosa maana ndugu yangu warumi anaonekana kukwazika....Naapa sitakaa nimuulize tena mtu jinsia yake...

Uliuliza jinsia yangu,nikakuuliza kuna tatizo? Hukunipa jibu la swali langu directly.. Kuuliza sio kosa ila tatizo ni namna ya jins ulivyouliza tu,sidhan kama palikuwa mahali pake,ila kila kitu kipo sawa
 
Last edited by a moderator:
Uliuliza jinsia yangu,nikakuuliza kuna tatizo? Hukunipa jibu la swali langu directly.. Kuuliza sio kosa ila tatizo ni namna ya jins ulivyouliza tu,sidhan kama palikuwa mahali pake,ila kila kitu kipo sawa

Okay ..hapakua na tatizo...nadhani tumeyamaliza...
 
Walahi Mbuta Nanga si mzima huyu! Halafu sijui nani tu huwa anampiga hizo picha....

Nasikia ana kamera anaikoki kitu kitu kinapiga chenyewe yeye kazi yake kubadili vyupi na mapozi...then anavurumusha vitu hewani kwa fans wake...
 
Specify kwenye photo yupi ni yupi hapo.... YaSintah, Shamim na huyo mwingine the first photo ni mkaliii balaa kwa face down huko sijui guu na kifua viko vipi
 
Kando na kuulizana kujuana jinsia zenu...hawa akina dada hatuwajui vema...elezeni orodha vizuri na blog wanazomiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…