I.M.O...Three most beautiful swahili bloggers

Walahi Mbuta Nanga si mzima huyu! Halafu sijui nani tu huwa anampiga hizo picha....

Huyu dada huwa anafanya siku yangu iende vizuri aiseeee kwa hiyo Nyani anaempiga picha ndio hajui kumtoa vizuri au?maana umejiuliza ni nan anaefyotoa duuuuu nimecheka bslaaa
 
Hapana, siyo kwamba hamtoi vizuri. Ni yale mapozi yake tu. Kila nikimwangaliaga naishia kupata maumivu ya mbavu. Kwa mfano kuna lile pozi lake moja hivi huwa anapenda kunyanyua kamguu kake huku kavaa vile vipichu vyake.

Sasa mimi huwa nawaza, hivi huyo anayempigaga picha huwaga anamwambia 'nyanyua hivi hako kamguu....au pozi hivi....au mkono mmoja shika ukuta na mwingine funikia nyonyo lako' teh teh teh. Ningependa sana siku moja niwepo kwenye moja ya hizo photo shoots.

Hebu ona haya mapozi.

FLORA+LYIMO+PICHA+ZA+SEXY+WEEK+10+AND+SHOES+NA+MASHATI+2013+088.JPG

Cheki na hili....

FLORA+LYIMO+PICHA+ZA+SEXY+WEEK+10+AND+SHOES+NA+MASHATI+2013+065.JPG

Hapa vipi?

FLORA+LYIMO+PICHA+ZA+SEXY+WEEK+10+AND+SHOES+NA+MASHATI+2013+014.JPG
 
Yaan ndio unazid kuniuaaa kabisaaa duuuu
Mungu aliona ampe manyonyo na kingine kipi hapo umeona kizuriii
 
Yeye awe anapiga tu kutuburudisha maana nacheka mnoo jamaniii
 
Back
Top Bottom