white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Walahi Mbuta Nanga si mzima huyu! Halafu sijui nani tu huwa anampiga hizo picha....
Huyu dada huwa anafanya siku yangu iende vizuri aiseeee kwa hiyo Nyani anaempiga picha ndio hajui kumtoa vizuri au?maana umejiuliza ni nan anaefyotoa duuuuu nimecheka bslaaa
Yaani hiyo pic ya mbuta nanga inaniuaa jamaniii
Ila ana manyonyo mazuri...yaelekea Godbless Lema aliyafaudu sana.
Jestina Joji mbebs
mkareeez kuliko wote maUK huko akifuatiwa na Mbuta Nanga halafu
Starlisha aka Chagga Barbie anafunga dimba.
Hapana, siyo kwamba hamtoi vizuri. Ni yale mapozi yake tu. Kila nikimwangaliaga naishia kupata maumivu ya mbavu. Kwa mfano kuna lile pozi lake moja hivi huwa anapenda kunyanyua kamguu kake huku kavaa vile vipichu vyake.
Sasa mimi huwa nawaza, hivi huyo anayempigaga picha huwaga anamwambia 'nyanyua hivi hako kamguu....au pozi hivi....au mkono mmoja shika ukuta na mwingine funikia nyonyo lako' teh teh teh. Ningependa sana siku moja niwepo kwenye moja ya hizo photo shoots.
Hebu ona haya mapozi.
Cheki na hili....
Hapa vipi?