''I made Davido Popular'' - Tanzanian Music Star, Diamond Boasts

Diamond inabidi amshukuru sana davido sababu ndio amefanya amejulikana west africa etc lakin davido alikuwa anafahamika east africa.
 
Sasa naona amekaribia kuharibu wenyewe wakimsikia watamshangaa na kumdharau.
 
Sasa naona amekaribia kuharibu wenyewe wakimsikia watamshangaa na kumdharau.

Huyu jamaa akili ndogo,wasanii waelewa wanapiga kazi na wenzao harafu wabawaachia washabiki waongee. Afunge domo lake apige kazi.
 
yaani hayo maneno yake hajaona haya wakati anayasema. Si akubali tu kuwa yeye ndo kasaidiwa hapo
 
for me it's true coz ckumjua davido hadi #1 remix ilipotoka, nlikuwa naickia skelewu but ckumjua singer
 
Hivi kweli umaarufu wa Davido ni wa kufananisha na Diamond?
 

I second you
 
No way..............

and Its ridiculous to think that way

Majuzi Davido akiwa U.S.A alijaza ukumbi mpaka ikawa ugomvi na watu waliumia,hivi Diamond anaweza kufanya show U.S.A au ulaya akajaza ukumbi?kuna wakati bongo Mwana FA alipigiwa sana promo kwamba anaenda kufanya show nje,baadaye kwenye show watu hawazidi hata 40,hata nauli ya kumrudisha hajapata anaanza kuchangiwa
 

na naona Diamond ana show May huko huko majuu.........
hiyo ya kujaza ukumbi nilisikia hadi akawa anawaomba radhi fans wake
 
Soon atapiga collabo na usher Raymond, na atadai kuwa bila yeye usher asingejulikana, ndivyo tulivyo wabongo, nakumbuka kipindi bondia matumla yuko juu kimchezo, waziri mmoja alimsifia na kudai kuwa amezunguka sehemu nyingi duniani na huko kote jina la matumla linajulikana kuliko hata jina la Tanzania, ila kwa umaarufu wa ndani diamond anaweza kumshinda kikwete
 
Diamond saying that he made Davido famous is crazy, Davido is kinda like a big deal in Africa... sijui alieanzisha mada katuchanganya ama what happened, namfagilia Nasibu sana lakini kwa davido bado aise.
 
for me it's true coz ckumjua davido hadi #1 remix ilipotoka, nlikuwa naickia skelewu but ckumjua singer

Kama ulishaujua Skelewu inamaana kadiri ungesikiliza ungefight kumjua aliyeimba hata number one remix isingetoka. Ila ungesema umemsikia kwanza Davido then ukaisikia skelewu hapo ungesema Fiamond kakufanya umjue Davido then ukatafuta nyimbo za Davido ila kama ulishasikia nyimbo zake basi jua davido alishakuwa famous before.
 

Huwa wanaenda kuburudisha kwenye familia za watu,
kwa mfano wewe una kipaimara cha mtoto wako unampigia sim,anakuja fasta hata bila kuuliza malipo yatakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…