Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
Diamond inabidi amshukuru sana davido sababu ndio amefanya amejulikana west africa etc lakin davido alikuwa anafahamika east africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond inabidi amshukuru sana davido sababu ndio amefanya amejulikana west africa etc lakin davido alikuwa anafahamika east africa.
Hahahaaahaa...Sema taratiiibu watu wasisikie..
Sasa naona amekaribia kuharibu wenyewe wakimsikia watamshangaa na kumdharau.
Ofcoz bila davido ile harusi ya Psquare angeshiriki?? Hao Psquare wenyewe walikuwa wanamjua AY tu coz walishawahi kuimba collabo nae ile ya freeze. Ile my number one remix bila Davido unadhani ingeshika namba moja kwenye Trace tv, kama ni hivyo mbona ile number one original haikuwah kufika top 3.
Ila kwa Davido hata bila Diamond Skelewu ingekuwa maarufu tu maana Davido alianza kujulikana mapema kabla ya number one remix ndo maana hata hao clouds fm walimchukua kwenye Fiesta dar na clouds hawachukui wasanii wasiokuwa maarufu na kupendwa hapa Bongo.
Hivi kweli umaarufu wa Davido ni wa kufananisha na Diamond?
No way..............
and Its ridiculous to think that way
Majuzi Davido akiwa U.S.A alijaza ukumbi mpaka ikawa ugomvi na watu waliumia,hivi Diamond anaweza kufanya show U.S.A au ulaya akajaza ukumbi?kuna wakati bongo Mwana FA alipigiwa sana promo kwamba anaenda kufanya show nje,baadaye kwenye show watu hawazidi hata 40,hata nauli ya kumrudisha hajapata anaanza kuchangiwa
Hiv yule alieimba Azonto nae ni wa Nigeriaa aisee yule kibokoo jameniii
for me it's true coz ckumjua davido hadi #1 remix ilipotoka, nlikuwa naickia skelewu but ckumjua singer
Huyu jamaa akili ndogo,wasanii waelewa wanapiga kazi na wenzao harafu wabawaachia washabiki waongee. Afunge domo lake apige kazi.