Don mihela karibu bana,kanuni na masharti uzingatie sio unajitia una hela halafu uanze kutongoza hovyo humu....we are watching you.....tuko gado kulinda mali zetu na ujue humu ndani kila mtu ana wake....okei?Jamani mi ni mgeni humu, naomba kukaribishwa rasmi
sijambo...siku hizi una tabia mbayaaa...
Ntakupigia tuongee.