I mean no harm

I mean no harm

Happy Saturday wananchi wa Sameer
Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka Sina Nia ya kumpoint mtu au Sina Nia Mbaya kuleta Uzi huu.

Back to our mission
Nimejiunga na JF Sina mda mrefu Sana Ila nimegundua vijana wengi ni wawindaji wa Mambo flani (hunting for women). Yani mtu huna hili wala lile unashangaa mesej hiyooo mtu anaomba utelezi live. Nilishangaa Ila nikakumbuka kwamba haya Mambo ni sehemu ya maisha ya kila siku. Hata Sisi bila utelezi tusingezaliwa.

Lakini pia Hii ni kawaida kabisa popote pale unapokusanya watu wa jinsia tofauti tofauti ni lazima Mambo ya kuhusiana na kujamiiana (socialization) yawepo.
Juzi juzi tulienda camp ya week moja iliyofanyika mkoa wa pwani iliyokusanya vijana na watoto wa dhehebu flani zaidi ya 2800 huwezi amini wapo vijana walifumaniwa wakifanya mapenzi porini.

Kwa hiyo ushauri wangu kwa vijana wawindaji msisahau kuwa makini na kutumia zana kwenye mawindo yenu. HIV is real.
Asanteni
# Bugal
Naunga mkono hoja
 
Pole sana dada yangu.
Ukitaka kutumia vizuri jamii forums usiwe na jina lenye uashiria wa kike na usiweke avatar yenye kuvutia.
Hauta sumbuliwa kamwe.
 
Back
Top Bottom