Brother Wako
Member
- Mar 18, 2017
- 23
- 22
- Thread starter
- #21
Mapenzi nomaMapenzi hatari sana yaani King kiba anamlilia mke wake kwenye nyimbo zote alizotoa baada ya kuachana na amina kama mpaka King analia hakuna aliyesalama maana yule ni mr don't care kama mpaka yeye analia basi mapenzi ni nyoko kwenye I miss you kuanzia kipande cha marioo mpaka anakuja kuimba yeye bado analia na kujuta kuachana na amina mapenzi shikamoo