I miss to love someone

I miss to love someone

Habari zenu wanajamii forum.................!

Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano ingawa kwa huu mda ambao nimejipumzisha na telationship nimekua very social na kuwa na rafiki mmoja wa kikr very cute😍😘. Bad enough she is very lovely and social and mostly very frerly to me na she have a boyfrnd. Nimejikuta tu sasa naamza tna kutamani kuingia kwenye mahusiano nimpende mtoto wa mtu alaf aje anipe pigo moja matata.
Real tokea nijihusushe na mahusiano up side down zimrkua nyingi kiasi kwamba naona bora niendeleh kusubiri wenda mungu anajambo na mm.
Sikuhizi hakuna malaika endelea kusubiri upepo
 
No, you missed English classes...
 
Huu ndo muda Mzuri wa wewe kutafakari mustakabali wa maisha yako. I believe people do grow during such times kama hizi. Talking from experience I feel more relieved and at peace being in the single state and I feel that iam developing my mindset everyday. Allow yourself to mature so as ukiingia kwenye next relationship unajua jinsi ya kuishi kwenye mahusiano. Chill and take a sip mkuu
 
Habari zenu wanajamii forums,

Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano ingawa kwa huu mda ambao nimejipumzisha na telationship nimekua very social na kuwa na rafiki mmoja wa kikr very cute[emoji7][emoji8].

Bad enough she is very lovely and social and mostly very frerly to me na she have a boyfrnd. Nimejikuta tu sasa naamza tna kutamani kuingia kwenye mahusiano nimpende mtoto wa mtu alaf aje anipe pigo moja matata.

Real tokea nijihusushe na mahusiano up side down zimrkua nyingi kiasi kwamba naona bora niendeleh kusubiri wenda mungu anajambo na mm.

Mkuu una kazi inayo kuingiza kipato na yakumtimizia mahitaji yake?
 
Back
Top Bottom