I miss you chuchu!!!!!!!

I miss you chuchu!!!!!!!

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,667
Reaction score
362
chuchu.jpg

I have never missed Chuchu Sound any moment like this one.

Nakumbuka sana haya mambo

Bwan'Chuchu wakaa wapi.............Nakalia Kigogo kwa Nyuma

Bwan'chuchu taa........Nini hiyo.............Si hii nyimbo.......

Raha ya chungwa, sharti umenyewe na kisha ukatiwe eeehh
 
Bwan chuchu naskia umenunua pick up.......,eeh sasa we wataka nini:Mi nataka un tie nyuma......,eh kwa heri.
 
:whoo:......ukifika gonga mbele mara mbili kama hafungui gonga nyuma mara tatu asipofungua bwaga mzigo wako ondoka...........:whoo:
 
Samaki kubwa papa..samaki mdogo..?
 
Kula nanasi kwahitaji nafasi, mchuzi wa ndimu wanitia wazimu
Utararanda njia utamaliza buchani nyama ile ile
 
Manyimbo ya kishetani, vibwagizo havina mantiki kwa jamii
Siungi mkoni asilani, huu ni uchafu na ulaaniwe mbinguni na kuzimu!!
 
Manyimbo ya kishetani, vibwagizo havina mantiki kwa jamii
Siungi mkoni asilani, huu ni uchafu na ulaaniwe mbinguni na kuzimu!!

Nenda kalale...umelazimishwa??? Na nani kakuambia uunge mkono hoja. Some people bwana.

Hii JF sio kanisa mjomba na tuache wa burudani za tupate burudani, we wa kwaya nenda kanisani kaimbe kwaya
 
Manyimbo ya kishetani, vibwagizo havina mantiki kwa jamii
Siungi mkoni asilani, huu ni uchafu na ulaaniwe mbinguni na kuzimu!!

Lugha inakupiga chenga nini kijana? Huungi mkono kitu gani, kwani umekatwa hadi uunge?
 
Back
Top Bottom