For me, Faiza Fox is a great lady here in JF.....anasimamia anachokiamini; sio mnafiki!! Yule dada/probably mama, ni darasa kama mtu unaamua kuwa positive!! Kuwa positive, kwa maana ya kuzipotezea post zake zisizokuvutia naatizo kuzifanyia kazi post zisizokukwaza!! Tatizo(In fact, uzuri) la FF ni kwamba sio mnafiki.....kama mtu hampendi, atatamka wazi wazi kwenye post zake zote, mwanzo hadi mwisho hata kama wote mtatofautiana nae, kamwe hageuki nyuma kama ulivyo msimamo wake kwa nyerere!! Linapokuja suala la kuitetea dini yake anayoiamini, nako ni hivyo hivyo!!! Honestly, sijawahi ona member hapa JF ambae anazungumza mambo kwa kutoa reference kama FF....really, i miss her!