mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini kinaendelea hapa??
Aendelee kukaa hukohuko hatumtaki FF.
Aisee! kumbe na humu huwa kuna kuombeana dua mbaya!!! Kweli Watanzania hatupendani kama inavyotangazwa!!Kumbe ana ka-BAN? Ka muda gani....indefinitely?
hujamfatilia tu mtu poa ,ila anamisimamo yake isiyokubalika na wengi ambayo sio mbaya .anachangamsha sana mijadala .ningekuwa na hela ningemtongoza .i miss her too mods mtoleeni ban kiswahili kinyooke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] ungekuwa na hela? kwani kakwambia ana shida na hela?hujamfatilia tu mtu poa ,ila anamisimamo yake isiyokubalika na wengi ambayo sio mbaya .anachangamsha sana mijadala .ningekuwa na hela ningemtongoza .i miss her too mods mtoleeni ban kiswahili kinyooke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] ungekuwa na hela? kwani kakwambia ana shida na hela?
kabisa insecurities to the highest levelUkiona hivyo ujuwe ni "domo zege" na kishaona dada'ke na mama'ke nyumbani wakitongozwa ni kwa hela. Kwa hiyo ndiyo experience pekee ya kutongoza aliyonayo.
Kitoti-kitotoUkiona kitoti kama hicho kinachojiita The only kiko hivyo ujuwe ni "domo zege" na kishaona dada'ke na mama'ke nyumbani wakitongozwa ni kwa hela. Kwa hiyo ndiyo experience pekee ya kutongoza aliyonayo.
Thanks.