Umekuwa single kwa lazima??
This agony si ya bure....!!
Babu DC!!
sikuwahi ona, nilidhani yuko for real na hakuna cha cover up; chuma cha pua hasa kumbe ni dhaifu mwenzangu.
Kukosa watu niliowapenda na leo hii siwezi kuwaona popote ni udhaifu? Udhaifu ni kama ningekua namlilia mtu aliye hai. . tena mwanaume ambae sikuzaliwa nae.
Babu tunaongelea WAPENDWA wetu waliotangulia mbele ya haki, sio mapenzi ya kunyonyana ndimi.
of course ni udhaifu wa wanawake wetu wanawake wa kawaida, kumiss wapenzi na wapendwa. Kuna watu hujiweka kama hawana hisia kimaandishi, kumbe wewe si mmoja wao.
Pole kwa kumiss, ndio ya kidunia, ndio malimwengu.
Pole dearest,nilijua wam-miss shemeji kumbe ni mtu aliyetangulia mbele za haki....lia kidogo na ishi kwa tumaini la kuonana tena na shukrani kwa maisha mazuri mliyoishi pamoja hapa duniani.....!
Maskini kakangu, mwaka huu kapatikana! Lile goti la kupropose nalipatia picha linakunjika kwa slow motion!
Ahsante dearest.
Hehehehe shemeji nimmiss kiasi hichi. . . kisa?Lolz
hivi wewe
kwa nini umeacha msuba
sipati orijino siku hizi
wanachanganya na mchicha
Bado unakua dearest,utakijua tu kisa cha kulia kwa kum-miss umpendaye hata kama yuko hai.....never say never....ROR
Ror dearest. . .hiyo nilipitia utotoni. . i'm all grown up now. Siwezi kulilia kisicho changu. . na kama ni changu sitolazimika kulia, labda kama anaumwa.Bado unakua dearest,utakijua tu kisa cha kulia kwa kum-miss umpendaye hata kama yuko hai.....never say never....ROR
michelle talking from experience eeh?
Ror dearest. . .hiyo nilipitia utotoni. . i'm all grown up now. Siwezi kulilia kisicho changu. . na kama ni changu sitolazimika kulia, labda kama anaumwa.
kongosho.... Hizo mambo mbaya bana! utaanza kuota upo marekani kumbe umesimama kariakoo chini ya duka la mhindi..
Babu tunaongelea WAPENDWA wetu waliotangulia mbele ya haki, sio mapenzi ya kunyonyana ndimi.