I miss you. . .

I miss you. . .

sikuwahi ona, nilidhani yuko for real na hakuna cha cover up; chuma cha pua hasa kumbe ni dhaifu mwenzangu.

Kukosa watu niliowapenda na leo hii siwezi kuwaona popote ni udhaifu? Udhaifu ni kama ningekua namlilia mtu aliye hai. . tena mwanaume ambae sikuzaliwa nae.
 
Kukosa watu niliowapenda na leo hii siwezi kuwaona popote ni udhaifu? Udhaifu ni kama ningekua namlilia mtu aliye hai. . tena mwanaume ambae sikuzaliwa nae.

of course ni udhaifu wa wanawake wetu wanawake wa kawaida, kumiss wapenzi na wapendwa. Kuna watu hujiweka kama hawana hisia kimaandishi, kumbe wewe si mmoja wao.

Pole kwa kumiss, ndio ya kidunia, ndio malimwengu.
 
Pole dearest,nilijua wam-miss shemeji kumbe ni mtu aliyetangulia mbele za haki....lia kidogo na ishi kwa tumaini la kuonana tena na shukrani kwa maisha mazuri mliyoishi pamoja hapa duniani.....!
 
Sioni udhaifu wowote kwenye kukosa watu waliotangulia mbele ya haki. . . but thanks ANYWAY!!
 
Pole dearest,nilijua wam-miss shemeji kumbe ni mtu aliyetangulia mbele za haki....lia kidogo na ishi kwa tumaini la kuonana tena na shukrani kwa maisha mazuri mliyoishi pamoja hapa duniani.....!

Ahsante dearest.

Hehehehe shemeji nimmiss kiasi hichi. . . kisa?Lolz
 
Ahsante dearest.

Hehehehe shemeji nimmiss kiasi hichi. . . kisa?Lolz

Bado unakua dearest,utakijua tu kisa cha kulia kwa kum-miss umpendaye hata kama yuko hai.....never say never....ROR
 
hivi wewe
kwa nini umeacha msuba
sipati orijino siku hizi
wanachanganya na mchicha

kongosho.... Hizo mambo mbaya bana! utaanza kuota upo marekani kumbe umesimama kariakoo chini ya duka la mhindi..
 
Lizzy sorry to hear that, if you are who I think i know, I'm sure you also know who you are talking about, so email me or phone me, I miss you too.
 
Bado unakua dearest,utakijua tu kisa cha kulia kwa kum-miss umpendaye hata kama yuko hai.....never say never....ROR
Ror dearest. . .hiyo nilipitia utotoni. . i'm all grown up now. Siwezi kulilia kisicho changu. . na kama ni changu sitolazimika kulia, labda kama anaumwa.
 
Ror dearest. . .hiyo nilipitia utotoni. . i'm all grown up now. Siwezi kulilia kisicho changu. . na kama ni changu sitolazimika kulia, labda kama anaumwa.

Umekanusha na kujijibu mwenyewe.....kumlilia umpendaye ni kumlilia tu kwasababu yeyote ile,hukuzaliwa nae ila unampenda!

Dearest,sijaongelea ku-miss kisicho chako,binafsi siwezi lilia kisicho changu pia,huo utakuwa uwazimu,kwenye mapenzi hakuna kitu kama umekuwa sana au ulishapitia sana,as long as you are in love, you will have to experience different situations which will make you react in certain unpredictable ways.....hakuna umwamba au uroho ngumu kwenye hisia za mapenzi!
 
ujue mie naishi kihesa
sasa kukatiza milima ya wilolesi bila msuba
inakuwa ngumu sana

hapa iringa kuna duka maarufu
panaitwa kwa pera
nikivuta nikiwa hapo
najiona kama niko kariakoo kabisa
raha kweli
kongosho.... Hizo mambo mbaya bana! utaanza kuota upo marekani kumbe umesimama kariakoo chini ya duka la mhindi..
 
Babu tunaongelea WAPENDWA wetu waliotangulia mbele ya haki, sio mapenzi ya kunyonyana ndimi.

Sawa Lizzy,

ngoja nikapumzike hata kama muda wa kulala bado....Ila siku nyingine sema tukuelewe...Vinginevyo babu anahagaika kuwatafuta mnaowalilia!!
 
Back
Top Bottom