Kaweka asubuhi🤣🤣🤣 mimi sikulala usiku kuchaJana ulisema utapandisha nyuzi saa 8 usiku
upo wapi mkuu!
Usimtukane tayari ndio kashachukua nafasi itakubidi kumuheshimu tu🙆🏽♀️Ndege siyo baba yangu 😆
Huyo ni mbamizwa ndege mmoja tuu mshamba kutoka huko mkuu 🤣 cc secretarybird mbamizwa
Aah msalimie sana mwambie arudi nyumbani sasa imetosha😕Nimechaht nae whatsapp asubuhi, he was doing well
Nasubiri aje na hadithi za huko ujiji za wabibi wawili wamkimbilia 🤣😆Usimtukane tayari ndio kashachukua nafasi itakubidi kumuheshimu tu🙆🏽♀️
Ntamfikishia salamu zakoAah msalimie sana mwambie arudi nyumbani sasa imetosha😕
Jamani🤣Nasubiri aje na hadithi za huko ujiji za wabibi wawili wamkimbilia 🤣😆
Duuh umetema "kilengeza" kigumu sana.sunbathing on a glorified sandbox
Don't confuse having a coastline with having real power.
Britanicca
Nimekuja kwa hii Id.Usimtukane tayari ndio kashachukua nafasi itakubidi kumuheshimu tu🙆🏽♀️
Uliyemtaja hapo ndo babu yako, siyo baba.Ndege siyo baba yangu 😆
Huyo ni mbamizwa ndege mmoja tuu mshamba kutoka huko mkuu 🤣 cc secretarybird mbamizwa
Kwanini sasa🤔Nimekuja kwa hii Id.
Nimekula ban ya daima na milele kwenye ile ID nyingine 😔Kwanini sasa🤔