I need a born again husband

thank you cpk for your good advice,i really appreciate it! Sijawah kujua kwnn,labda sababu nimeishi huko sijawah kuwapenda


Nimekuelewa, ila usifunge kabisa milango kwa hawa majirani zetu, huwezi kujua mchaga huyoooo anakuja, hahahaaa!
 
Dhambi ya ubaguzi dhidi yetu wachaga, nalitoa chozi kwa Mungu akunyime mme mpaka utakapotuomba radhi. Uwe mpweke, Usongwe na mawazo mpaka siku utakapotubu.

Nani alikudanganya Mungu aliyependa watu wote anakukubali eti "mlokole - born again" mbaguzi. Unathubutu kujiita umeokoka? Chezeya Mungu wewe??

Njoo kaunta tunywe biya wewe, we ni mmataifa mwenzetu huna lolote.....
 
Wavigezo hivyo walishakufa siku mingi waliobaki ni wamimba kwanza ndo harusi ukikubali ni pm.
 
she is kidding, wajameni, eti asiwe mchaga kwani WACHAGA sio watu
 

Sifa zote ninazo mamii, ila hapo kwenye red, umeni disqualify...............
 
mimi ni hapa a real born again..sifa zote ninazo..just pm me..hakuna maswali majibu yote ninayo..
 
Baba yetu uliye mbinguni, ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. utusamehe sisi makosa yetu kama sisi nasi tunavyowasamehe wadeni wetu. Usitutie majaribuni bali utuokoe na yule mwovu. Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu na hata milele, amen.

Zingatia hiyo protokali.
Ukimwamini Mungu wako, ukampenda, utamwachie afanye mapnzi yake juu yako. Maana anakuwazia mema siku zote.
Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na hayo yote mtazidishiwa!
 
Nimeipenda ila tatizo mi mchaga! ila kwa Mungu hakuna ubaguzi wa wa kabila!
 
hapo mama umechemsha Mume mwema hutoka kwa bwana na si kwa vigezo tu ndo jibu.Waweza kupata kwa vigezo lakini asiwe mwenye baraka za kimungu.remember human behavior is complex and dynamic.Ongeza juhudi katika maombi....
 
haaaa haaaa haaa ebana daaah wewe ni mkali huna haja ya kufuga mbwa mpaka hapo gud its not simple kama anavyo dhani
 
awe na kazi inayomudu kutunza familia
Yesu alisema ndege wa angani wana chill kwenye miti mchana kutwa, hawaendi kazini, wala shambani, wala popote zaidi ya kuvinjari. Na Mungu anawalisha anyway, sembuse nyie binadamau. Yesu alisema hivyo, sio?

Sasa wewe mja wake unataka mtu mwenye kazi, unaweka tumaini lako kwa mwanamme, Bwana wa Majeshi hawezi kuwatunzeni?
 

mduniani
 

Nyafe praise the Lord,
Hongera sana kwa kufikia umri wa kuona kuwa unaeza kuanzisha familia yako mwenyewe. binafsi mimi ni mwanamke ila nitakupa machache kama sehem ya ushauri tu.
Mungu anasema hivi "nitakufanyia msaidizi wa kufanana na wewe" sasa mdogo wangu usiseme hapana kwa mchaga. ukitaka kujua mungu yuko je kumbuka kisa cha Yakobo na wake zake wawili LEA NA RAHELI. hapa nataka kukuonyesha kuwa aliyeusudiwa kwako na Mungu ndiye atakuwa wako tu no matter ni mhaga au msukuma.
Pia katika Yakobo Mungu anasema kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hushuka kutoka juu kwa baba wa mianga kwake yeye hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka. sasa kama Mungu habadilili basi usitake kumbadilisha kwa anachotaka kukupa. hapa kuna hatari sana Mungu ana watu wengi sana anaweza akasema akupe unayemtaka wewe halafu ukateseka hadi ukataka hata kufa. kwenye biblia kuna sehem Mungu aliongea na shetani akamuuliza nataka mtu atakaye kwenda kutoa unabii wa uongo kwa mfalme shetani akajibu atakwenda na atakuwa pepo la uongo na hivyo ataweka uongo ktk vinywa vya manabii na aliruhusiwa. nakusihi uombe rehema kwa hili. huu ni mtazamo wangu sijakaa rohoni. usinielewe vibaya.

Pia wakati unataka mchumba mwambie mungu akupe mchumba aliye mkusudia basi hivyo vigezo vingine vyoe havina maana tena wakati unasema unamkumbusha kuwa alishasema kuwa yy anajua kuwapa vipaji vyema walio wake. na kwamba yy si mtu hata aseme uongo kwa hyo atakupa mume zur aliyemkusudia kwasababu anatoa vilivyo vyema. usiweke condition hapa kwani Mungu kaumba watu wote ni wa kupendeza na mungu hawezi akakupa kitu kisicho chema. Na kama alikusudia mwenzi wako awe ni mr X hata kama ana mtoto atakuwa wakwako tu. tena usiwe na -ve aaspect juu ya hilo manake moyo wako nao anaupima. ukitaka kuamini soma kisa cha daudi na mke wa uria halafu angalia katika viuno vya mwanamke huyo ndimo alikotoka Kristo Yesu. mtoto umemkuta na pengine alizaliwa kabla baba hajamjua mungu sasa ameokoka na anampenda mungu je huyu mtot amkane kwamba siyo mwanae?

wakristo wa leo tunamsaidia mungu kazi, sisi ni wajibu wetu kumweleza shida zetu yeye anajua anatatua vpi. wewe mkumbushe kwa alichosema juu ya ile shida yako basi.maombi mengi ya wakristo yamekuwa hayajibiwi kwakua tunaweka na akili zetu za kibinadamu lakin mungu anasema kama mbingu zilivyo mbali sana na nchi kadhalika na yy mawazo yake ni juu sana kuliko mawazo ya bnadamu. kwakulijua hilo usimsaidie mungu kazi yake wewe mwambie kisha mkumbushe halafu subiri uone wema wake.

usijaribu hata siku moja kuomba ukiwa na qualities zako kwani kama uzuri mungu anaujua kuliko mtu yyte na ukitaka kuamni hebu angalia uzuri wa nchi milima,mabonde, misitu ndege wazuri na hata watu. hivi umewahi kumuona ndege tausi ? angalia uzuri wake kuna kitu gani kinachoweza kumfikia? na ile ni kazi ya mungu sasa je ww kwa uwezo wa kibinadamu unawezakudefine uzuri gani mbele za mungu? umewahi kusoma juu ya mji tunaoutegemea? jinsi ulivyo mzuri?duniani hakuna wala hakuna aliyeweza kuutengeneza kwa akili zake lakin mungu ameutengeneza hivyo hata ndoa mung atakutengenezea nzuri tena yenye mfano kwa wengne kama tu utaamin na kumwachia atende yeye kama anavyotaka kumbuka yeye ni mwema na mwaminifu na uaminifu wake unamzunguka.
 
Tabia huwa haina rangi wala kabila. Kuna wachaga wakarimu kama ambavyo kuwa wasukuma wachoyo na wabahiri. Ukitaka kutumia akili zako tumia kwa asilimia mia moja kwa umakini na uangalifu, lakini pia ukitaka kumtumaini Mungu mwamini kwa asilimia zote, huwa hachanganywi na hapendi kuchanganywa. Kuweka vigezo sio kosa kwa kuwa Mungu atakupa haja ya moyo wako, ila pia ujue kuwa anafahamu zaidi unachohitaji kuliko wewe mwenyewe unavyodhani, Mungu akuongoze!
 

Siku zote natafuta mtu kama wewe niko serious nitafute kwa 0652841434
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…