baraja zephania
Member
- May 8, 2017
- 98
- 68
Mi sina elimu lakini nahela namiliki vyote vizuri unavyo vijua,je sina vigezo?Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Mm nna vigezo vyote isipokuwa sina hiyo degree mi n mkulima hodari napiga jembe huyoo, vp upo tayar?Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
nina watoto nipo single, nije?🙄🙄Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Miaka 28 unahitaji boyfriend tena above 28 , sidhani kama kuna mvulana Wa miaka 29 kwa tafsiri yangu ya kiingireza cha kuunga unga kwa maana boy= mvulana, we sema unatafuta hawara watu tukuelewe, maana hao 28 and above are already married and if not are in serious relationship....Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Miaka 28 unatafuta bf mpk uje upate mume c htr
[emoji23][emoji23]Nyie so ndo mnawapotezea muda,..mpaka inabidi wajiongez tu uku,
Una kazi ya uhakika kama huna tafuta kwanza nitarudi kama ipo ni pm sasa hvyiHellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above