Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
- Thread starter
- #101
Mmmmhhh no commentVipi umempata huyo boyfriend mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhhh no commentVipi umempata huyo boyfriend mama.
Nipe email yako hapa😛Nitumie CV yako
[emoji106]Mmmmhhh no comment
No commentUbaguzi huo elimu ndo kigezo sasa ambao hatujasoma je
Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above[/QUO
Vigezo ulivyotoa ni viwili tu au kuna vingine zaidi? Tutafutane
Anatafuta mchumba mwenye kumiliki degree, ili hiyo degree ndio atafunga nayo ndoa....[emoji23] [emoji23]Degree and above hilo ni tangazo la ajira au unatafuta mpenzi? Be serious!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanataka wa degree tuu, kama unaomba kazi vileeeee
Shimi shimiya shimiyo..swala lalaaaSwala lalaaa
Duuh mkuu una kumbukumbu bint magar huyu.Ukuje pm mchumba, mi degree ninayo ila sina gari
sipati picha sasa ukute anavyeti fekiHellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above