Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Ahsantee mm nina 24 ila elimu yangu haidiki degree but Am Employed kwenye Campany ambayo kila siku natoka na 20/15Tsh elfu mbali na mshahara.Sijuitwawez kua pamoja?Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Umri/pesa/Elimu si chochote kwenye mapenzii..