I need a childfree woman for a childfree marriage

I need a childfree woman for a childfree marriage

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Mimi ni kijana wa miaka 27 - 33. (hatua ya kujitambua na kuwa mwanaume kutoka mvulana)

Nimeajiriwa katika sekta binafsi. Ajira ya kimkataba.

Naishi Dar es salaam ila ni mwenyeji wa Mbeya.

Nahitaji 'a childfree woman' ili tupange 'a childfree marriage'.

Sina TATIZO LOLOTE ila nimeamua tu hivyo, kwahiyo sitaki uje PM kwa maswali ya kijinga-jinga wala kuja kunishauri sijui niende hospitali gani, KOMA!.

Niepushe na maswali ya kijinga na ushauri ambao sijauomba na mimi ntakushkuru sana kwa hilo. Kama unakuja PM basi uje kwa sababu uko interested na DHUMUNI la hii POST.

Mwanamke nnaemtaka:-
1. Awe anaelewa na yuko interested na childfree thing.
2. Asiwe aliwai kuzaa au kuwa na mtoto.

Mengine tutazungumza PM.

NAWATAKIA SIKU NJEMA.
 
Back
Top Bottom