I need a childfree woman for a childfree marriage

Maelezo umeandika mengi mno wee ungesema tu unahitaji mwanamke "tasa" uowe ungewaona wengi wanakujia huko PM. Sasa sijui childfree huku kwetu wengi hawajui na utahangaika sana kuwapata. Wee andika moja kwa moja unatafuta MWANAMKE ASIEZAA a.k.a TASA wa kuoa.
 
Asante kwa kuchangia kwenye uzi huu.

Asante kwa ushauri.

1. Ni kweli kwamba baadhi ya wanawake/waschana hawaelewi hii kitu ipoje lakini kuna idadi ya wanawake wanaoelewa hili suala vizuri.
2. Kuwa tasa na kuwa childfree ni vitu viwili tofauti boss. Childfree is a choice lakini tasa ni biological limitation.
 
Hii nchi ngumu sana.
 
Mbombo nkafu lelo nkamu gwangu! Jamani Homeboy kweli hutaki watoto? Ungejua ukiwa na watoto ni rahaaaaa
 
Mbombo nkafu lelo nkamu gwangu! Jamani Homeboy kweli hutaki watoto? Ungejua ukiwa na watoto ni rahaaaaa
Ni kweli ndugu. Ila si kwa kila mtu.

Asante kwa kunipa ushauri!
 
mwendo wa kuchata mbususu tu, unanyofoa ovaries unamwaga ndani
nakuelewa sana mtoa mada, hakuna stress
 
Afu hakunaga umri wa 28 hadi 33 lazima utakuws mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…