I need a date for this Friday am so lonely.

dah samahani nimekutumia pm nikajua unataka basha wakukupumulia kisogoni nikajua nimepata tender
ahahaaaa kuna watu mmevurugwa humu???????????
 
ngoja nioge zangu niende kwenye kukesha kwenye maombi mlima wa moto mie!
huyu shetani ashindwe hapa! ukinibaka?
 
Kama kungekuwa na Nokia nyingine ya kuprove ninachosema ningefanya. NO SEX just funny na kujuana basi staki nilioWazoea tutaongea nini kipyaaaaa?.?.
Kila la heri.. watakuja wapo wengi siku hiz hapa
 
ngoja nioge zangu niende kwenye kukesha kwenye maombi mlima wa moto mie!
huyu shetani ashindwe hapa! ukinibaka?

Haya mama uombe vema na utende yaliyo mema, ila Mimi sio mbakaji na kwanini nibake na watoto wakike Wengi hivi ni ulimi wako tuu.
 
ahaaaa ujana una mambo huu mimi sisubutu kutoka na mtu stranger usiku kwa kweli! dunia hii ?

Wacha uoga, nimemwambia best yako hapo mje wote ili kuwe na Amani zaidi.
 
Hii sio tamaa bana ni offer for a drink out Duuuh kweli bongo pagumu.

Sasa kama bongo pagumu nenda Nairobi labda.. kwanza mpaka sasa hujapata tu pm?? Bora twende wote mlima wa moto tukakeshe..tukifika huko loneliness yote kushney.. Smile mpitie huyu kondoo aliyepotea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…