afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jan 22, 2011 #61 Gsana said: frnd jamani mbona ivo?iyo kichenijf party mbaya! Waambie walegeze kabsa ili tupate wenza jaman. Click to expand... mmmhh mbona nyie hamuachiagi kamba?? hapa ngoma droo.. KitchenJF party bado haijaanza mpaka kieleweke hahahah lol:A S-fire1:
Gsana said: frnd jamani mbona ivo?iyo kichenijf party mbaya! Waambie walegeze kabsa ili tupate wenza jaman. Click to expand... mmmhh mbona nyie hamuachiagi kamba?? hapa ngoma droo.. KitchenJF party bado haijaanza mpaka kieleweke hahahah lol:A S-fire1:
semmy samson Member Joined Dec 20, 2010 Posts 85 Reaction score 0 Jan 22, 2011 #62 Du we unataka fataki inaonekana umefulia unatafuta wa kupumzikia huku JF.... kila la heri
Mallaba JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 2,554 Reaction score 48 Jan 22, 2011 #63 salaam Dinam, nimeona maombi yako , lakini si umesema unatafuta Rafiki ? na kichwa cha habari si ndio kiko hivyo? Dinam said: kumbukeni kuna rafiki na mpenzi mimi nahitaji mpenzi naona mmeshaanza kunishambulia mawazo yamekwenda mbaliiiiiiiii Click to expand...
salaam Dinam, nimeona maombi yako , lakini si umesema unatafuta Rafiki ? na kichwa cha habari si ndio kiko hivyo? Dinam said: kumbukeni kuna rafiki na mpenzi mimi nahitaji mpenzi naona mmeshaanza kunishambulia mawazo yamekwenda mbaliiiiiiiii Click to expand...