Hapana jamani, tumechoka kulishwa matango pori [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu muacheni USA baby!!
Hahahah kwa kweli kaja kichwa kichwa huku hata biashara yake ya kuku hakutupa mrejesho.!Vichambo vikimshinda atatumia kiswahili tuu na atatupa mrejesho kuhusu soko la kuku kama alifanikiwa au laah [emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yooo wozap men ur mostly welcome into the badland
Unamzimiaje?Hivi ujue nakuzimia?
Akikumbuka kiswahili atatupa mrejesho wa biashara yake ngoja tusubirie itakuwa kumbukumbu zinaingia na kutoka [emoji28][emoji28]Hahahah kwa kweli kaja kichwa kichwa huku hata biashara yake ya kuku hakutupa mrejesho.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahhahahah jamii forums ni kiboko aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye soko la kuku alikuwa competent kwenye kiswahili.
Kwel we umkaaa USA af unakingerezaa kibovu hivo??yani sjakwelewaaaaa,,,YO! AM KIBOD3 24 male FROM Kentucky (USA) I wanna chat wit my fellow tanzanian b`coz am a tanzanian too i left since young so i wanna com back with my family @ the end of this summer so i need a friend to give me a company
NB i wil stay for 1month ......contact me thru
kingkibode@yahoo.com
snapchat;kingkibode
nawapenda
So you will Come Back With Your Wife Please "Hainaga Ushemeji Tunakulaga" Try To Use Dictionary!!yes am not single
Hahahahahhahahah jamii forums ni kiboko aisee
Hahaha wewe hahaKaribu sana mkuu, I am a Tanzanian who resides in Dar at Kwamtogole, the life in here is the real Kiswahili style, we are so comfortable in using pity latrine and sharing food in a big sinia.
Hahahhahahhahahahaaa my ribs.......watu wa jf mnajua kunipa rahaYooo wozap men ur mostly welcome into the badland
Kwanza mbona upo sana huku......kulikoni?????Teh teh tapelizzz katika ubora
Ningeshangaa mtu aishi USA miaka yote aongee english ya mtoto mchanga......hahahahahhaaa
Heshima zenu wafukua makaburi........ila kwa huyu sawa sawa