I need a friends from Tanzania

I need a friends from Tanzania

TUNAOMBA MAGUFULI ALEGEZE KIDOGO VINGNEVYO MACHIZI WATAONGEZEKA BONGOLAND.. MAANA CHIZI WA KWANZA HUYU HAPA, AMEUZA LAPTOP, AKAINGIA KWENYE KUKU WA KIENYEJI LAKINI AMEDUNDA.
AMEWEHUKA NA SASA ANATUMIA UTAPELI..
Uwiiiiiiii jamani wabongo heshima zenu
 
Akikumbuka kiswahili atatupa mrejesho wa biashara yake ngoja tusubirie itakuwa kumbukumbu zinaingia na kutoka [emoji28][emoji28]
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii jamani huyo apelekwe hospital
 
Kabisa




Kumbukumbu zimerudi sasa anajua kiswahili [emoji26]



Sasahivi yupo vizuri, I really like him [emoji6]
Hahahahahahahahahaaaaaaaaa aiseeeeeee mpaka kumbukumbu zimerudi........baba hii ndo jf next time uende english course ndo uje tena hapa KIBOD3
 
Back
Top Bottom